Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Walipaje? na nini kifanyike?Futa hayo mawazo, alipie damu za ndugu zetu kwanza.
Walifanya zama za Maalim Seif, ila ilichangia kwa kiasi kikubwa kukiua chama huko Zanzibar maana walichukuliwa kama wasaliti.Haiwezi kuwa, hata huko Zenji km walikua serious na hilo, si wangefanya zama za maalim Seif.
CCM ni waongo, wanafiki, wauaji, mafisadi na majambazi, ni Majangili makuu.
Swadaktaaa!!Walifanya zama za Maalim Seif, ila ilichangia kwa kiasi kikubwa kukiua chama huko Zanzibar maana walichukuliwa kama wasaliti.
View attachment 3502425
HapanaUnamawazo positive {100%} unafaa kuwa mshauri wa dkt samia.
Here we go kamanda wanguWazo Hilo ni baya kuliko kawaida na Lissu hawezi kuingia kwenye mtego huo,.
Maalim Seif aliingia kwenye mtego huo(kusaliti) na CUF ikafa Zanzibar..
CCM ilikua na amani enzi za Mbowe sababu kila chadema wakianzisha movement,ikifika mahala pazuri Serikali inamuita MBOWE wanakunywa "Kahawa" wanafanya maridhiano harakati zinasimama..
Lissu hataki maongezi na Mtu Wala kahawa na Mafisadi,yeye anataka kitu kimoja tu HAKI&KATIBA..
Angekua compromised kama Mbowe asingepigwa risasi,na Wala asingekua jela Leo, unafikiri kwanini CCM ilimpigia Mbowe kampeni za uenyekiti wa Chadema??walijua haya yatatokea na Lissu akishinda andazi litakua gumu..
So Hell No..
Nipo nakulaUmeona ile video ya mortuary???
Samia hawezi kufanya lolote mpaka Katiba ibadilishwe.Nimewaza:
Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri?
Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria.
Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza taifa kuwawajibisha kisheria wale waliohusika na mauaji ya Oktoba 29 pamoja na kupata katiba mpya. Na baada ya upatikanaji wa katiba ukaitishwa uchaguzi huru na wa haki, utakaoongozwa na kulindwa na katiba hii mpya?
- Je hili linawezekana? na je litakua jambo la busara kuliko kuharakisha kwenye maridhiano?
- Na je, litasaidia kuisogeza nchi mbele kutoka hapa tulipofikia?
PS:
Nimeongelea uwaziri kamili na siyo uwaziri kivuli, na pia waziri akapewa nafasi ya kupendekeza katibu mkuu wa wizara na siyo kupangiwa yule wa kuteuliwa na raisi.
No no no!Nimewaza: