Unafikiri hili litawezekana kwa siasa zetu za Tanzania?

Huu ndio ukweli
 
Umeona ile video ya mortuary???
Ujinga waziri wa sheria na Katiba hana Uwezo wa kutoa katiba hivi mnajua nguvu ya Rais kikatiba Maridhiano yawekwe kwenye katiba itambue Ayo maridhiano kwamba Mfano Lissu atasimamia upatikanaji wa katiba mpya akiwa waziri wa katiba apewe na kinga kikatiba basi
 
Vijana hatutaki kusikia chochote kwa sasa πŸ˜…

Tunataka kuzichapa tu bora kufa kuliko unyonge πŸ˜…πŸ˜…

Hata hiyo katiba mpya hatuitaki sisi tunataka tuwe kama Somalia vile au Sudani Kusini tunawaonea wivu sana yale maisha wanaenjoy sana wale jamaa
Binti wa zamani uko smart sana hongera at least unaweza kufanya upembuzi wa mambo inaonesha akili yako iko huru kwenye kuchanganua mambo haujashikiwa na wale maactivist uchwara
 
Fact will take you from point A to B, immagination will take you everywhere
 
Lissu akikubali huo mtego(serikali mseto) upinzani ndani yake unakufa rasmi, mawazo yake yanakufa rasmi, anakuwa mmoja wao indefinitely.

Refer, Maalim Seif na CUF kule Zanzibar.
 
Kunahitaji marekebisho ya katiba kwanza so ni biashara kichaa, katiba inatakiwa mpya sio kutia viraka iliyopo tena
 
Haiwezi kuwa, hata huko Zenji km walikua serious na hilo, si wangefanya zama za maalim Seif.

CCM ni waongo, wanafiki, wauaji, mafisadi na majambazi, ni Majangili makuu.
Malim seif alikufa akiwa makamu wa pili wa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…