Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #61
Asante, tunaendelea kupoa.Yani sehemu zote hawakuona wameona mtako tu?
Mtako hata ukiufungia ndani unatokezea mpaka nje ππ
Ila poleni sana jamani.
Julio Iglesias.
Naomba nione tako ambalo limekoswa la risasi.. nilipake spiritHizi nyimbo ni kama kelele tu, nina maumivu.
Afisa, lini utachoka kuja na ID mpya, mimi nishakuchoka ujue π !
Ngoma ya moto sana hii.Julio Iglesias.
Hichi ndicho nilichowaza, maana hata Kenya, hatua hii ndiyo ilikua namna pekee ya kurudisha amani na kuunda serikali ya pamoja ili kuleta katiba mpya.Wew unacho kiongela hocho ni kama kilicho tokea kenye 2008 kwa marehemu raila ondinga ndio iliundwa hiyo serekali ya umoja wa kikatiba.
Ndiyo maana kuna maandamano na sauti za umma kuwashurutisha, wenyewe tu hawawezi kukubali.Lakn? Una wajua ccm vizuriπ katiba mpya ndio mwisho wao .unafikiri itakuwa,rahisi sana kukubali tu.
π― ni lazimaNa vipi kuhusu vifoo vya jamaa na ndugu zetu 29/30/31 .kwanza kuna watu inabidi wawajibike kwa hilo.
π―Sema kila mtu analonda ugali wake wacha inyeshe tu jue panapo vuja
Facts!Bora kugharamia whatever the cost tupate kiongozi wa nchi kuliko kutawaliwa na haramia aliyejipachika kwa njia haramu, gharama atakayolitia taifa mpaka amalize huo uharamu wake itakuwa ni balaa.
Katiba imemuwekea kinga, hawezi kuwekwa nyuma ya nondo π€π«.Hapana. Awekwe pembeni, atembezwe kwenye maiti zote aliowaua kwa 'order' yake halafu apelekwe nyuma ya nondo.
Naona umeniwekea wimbo wa marehemu, isije ikawa ni wewe uliyenilenga risasi π€ π‘!Naomba nione tako ambalo limekoswa la risasi.. nilipake spirit
View attachment 3502645
Upeo wanao ila wanaendeshwa na matumbo kuliko maarifa.
Lisu hana (hataki) Siasa za maji taka... The man knows what's struggling for!!Nimewaza:
Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri?
Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria.
Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza taifa kuwawajibisha kisheria wale waliohusika na mauaji ya Oktoba 29 pamoja na kupata katiba mpya. Na baada ya upatikanaji wa katiba ukaitishwa uchaguzi huru na wa haki, utakaoongozwa na kulindwa na katiba hii mpya?
- Je hili linawezekana? na je litakua jambo la busara kuliko kuharakisha kwenye maridhiano?
- Na je, litasaidia kuisogeza nchi mbele kutoka hapa tulipofikia?
PS:
Nimeongelea uwaziri kamili na siyo uwaziri kivuli, na kama itatokea basi waziri apewe nafasi ya kupendekeza katibu mkuu wa wizara na siyo kupangiwa yule wa kuteuliwa na raisi.
Labda risasi ya maji maji ya uzima yale mazito mazito meupe hivi ππNaona umeniwekea wimbo wa marehemu, isije ikawa ni wewe uliyenilenga risasi π€ π‘!
Nakubaliana na wewe 100%Hivi unajua kwanza kama hii serikali ni haramu?
Kuruhusu wapinzani wajiunge nao ni kudharau wananchi.
Halafu usichokielewa hayo maridhiano ni ya wananchi na serikali haramu sio wapinzani..
Hili halina ubishi.Kinachotakiwa kufanyika sasa
Rais haramu na serikali yake haramu wapishe uchunguzi ufanyike
Uchaguzi mpya urudiwe kwa tume gani? usimamiwe na nani? Hata Samia akijiuzulu atapokewa kijiti na makamu wa raisi, ambaye bado atakua na mamlaka yale yale ya kuunda tume. Je hili litaleta mabadiliko yoyote ya kimuundo?Tupate katiba mpya, tume huru ya wananchi sio hii ya sasa.
Uchaguzi urudiwe sio huu ambao wananchi hatuutambui.
100% hili halina majadiliano wala mbadala.Uchunguzi ufanyike na vyombo vya nje, Ili waliosababisha mauaji ya halaiki wawajibishwe hapo safari (The Hague) wakajibu mashtaka kuanzia Samia na majeshi yote ya ulinzi na usalama..!!
Mtu wa maana sana wewe π«ΆNaam π
Hii nchi bado ina hazina ya viongozi wenye busara wanaoweza kutetea maslahi ya nchi na wananchi.Hili halina ubishi.
Wampishe nani ambaye ata-take over? Kama kutakua na baraza maalum litaundwaje? nani atasimamia kuundwa kwake. Katiba inalipa bunge mamlaka hayo, je kama bunge la sasa ni haramu? tutarudi kwenye bunge lililopita au? na je bunge lililopita lenye idadi kubwa ya wabunge wa CCM litatupa baraza la mpito lenye meno na uwezo wa kutenda haki?
Hapa unakoroga mambo swali moja unauliza mara mbili mbili.Uchaguzi mpya urudiwe kwa tume gani? usimamiwe na nani? Hata Samia akijiuzulu atapokewa kijiti na makamu wa raisi, ambaye bado atakua na mamlaka yale yale ya kuunda tume. Je hili litaleta mabadiliko yoyote ya kimuundo?
Katiba mpya ni mchakato wa kisheria, ipatikanaje? au tuendeleze kwenye rasimu ya Warioba
Yes, ni risk kubwa.Lissu akikubali huo mtego(serikali mseto) upinzani ndani yake unakufa rasmi, mawazo yake yanakufa rasmi, anakuwa mmoja wao indefinitely.
Refer, Maalim Seif na CUF kule Zanzibar.
Umeeleweka mama, haya kunywa maji basi, ushushe na pumzi π πHii nchi bado ina hazina ya viongozi wenye busara wanaoweza kutetea maslahi ya nchi na wananchi.
Nafasi ilikuwa kwa JWTZ ila kwakuwa na wao wameonyesha udhaifu mkubwa, basi inabidi tuwe na serikali ya mpito ikiongozwa na Waziri mstaafu mzee wetu Warioba.
Tupate tume huru ya uchaguzi kisha uchaguzi urudiwe (Hapo kiongozi wa mpito atachagua wawakilishi)
Hapa unakoroga mambo swali moja unauliza mara mbili mbili.
Nimekujibu huko juu kuhusu tume
Rais akijihudhuru anaondoka na makamu wake pamoja na viongozi haramu wenzie sababu wote hawana uhalali wa uongozi.
Rasimu ya Warioba ndio tunaenda nayo kuipata katiba mpya.
βMoto sanaβ πΉUmeeleweka mama, haya kunywa maji basi, ushushe na pumzi π π
Nakuelewa π, nchi inafukuta, haijawahi tokea tukawa mahali pabaya kama hapa!βMoto sanaβ πΉ