Unafikiri hili litawezekana kwa siasa zetu za Tanzania?

Uko kwenye kundi moja na Harmful ni vita tu, kama mbwai na iwe mbwai.
Ila sasa sisi wamama tutafanyaje jamani, wengine mbio hatuna na nguvu hatuna vile vile πŸ˜‚ πŸ˜‚ .
Binti wa zamani uko smart sana hongera at least unaweza kufanya upembuzi wa mambo inaonesha akili yako iko huru kwenye kuchanganua mambo haujashikiwa na wale maactivist uchwara
Asante, japo JF ni uwanja wangu wa kupumzikia na kujitoa ufahamu.
Ila kwa tulipofikia, imebidi niurudishe ufahamu kwa muda πŸ˜… ila ni temporary tu msije kunizoea hivi.
 
Sawa nimekuelewa.

Kwa mawazo yako, unafikiri atashiriki kwa nafasi gani kwenye huu mchakato wa kubadili hizi system mbovu tulizonazo?
 
Kabinti kaka bado haujaanza kukatuma dukani? πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…