Unahisi kifo chako kitasababishwa na nini?

Huwezi kujua usicho kijua.

Unaweza panda ndege itilafu ikatokea angani mkalipuka wote kama wale abiria wa Ethiopia Airlines walivyo kufa 2019 au wale wa precision Air waliozama bukoba.

Kuna road accidents.

Halafu kuna baba la baba KANSA.

Hili gonjwa halibishi hodi, unashtukia tu limekuvaa.
 
nitakufa katika uzee mwema kabisaa. 97 years.
Nimeoza wanangu na nimewaona wajukuu na vitukuu mpaka vilembwe.
Nitakufa kwasababu ya utu uzima tu/uzee. Nitafia usingizini pale Aga khan.
Kwa nini ufie Agha Khan na usifie kitandani nyumbani kwako?

Miaka yote hiyo AK tena!

Uje ufie kitandani kwako kuwapunguzia wanao usumbufu.
 
Uzee
 
Whatever will be, will be. Lakini sio kwa ugonvi wa kugombea mwanamke
jidanganye
mwanamke anaweza kuwa hata mkeo jamaa akakufata akakupa dare for mo ukazima huta amini ukiwa huko mbinguni kwamba kwel mwanamke kakuondoa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…