CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
binamu charminglady ukiniona hutaweza kuamini nilivyo, kawaida sana, siwajua mafundi viatu walivyoa....!
Haya binamu, ntajitahidi kurudia tena kukuimagine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binamu charminglady ukiniona hutaweza kuamini nilivyo, kawaida sana, siwajua mafundi viatu walivyoa....!
Mwenyekiti ana vichwa viwili?
Kumbe unavijua
Kaizer ni m'baba mmoja mrefu kiasi na ana mwili wa wastani,anapenda sana familia yake..na kila siku lazima anywe bia
Asprin ni mrefu kiasi lakini kutokana na unene na kitambi chake kikubwa anaaonekana mfupi..anapenda utani sana wa kibazazi lakini kiuhalisia wala si bazazi
sungura1980..ni kijana mtanashati ,mpole na hana majivuno
figganigga huyu ni mrefu na aanapenda sifa lara 1 ni msichana anaependa kufuata kile moyo wake unataka..hata watu alfu mpinge hatojali
miss neddy ni mtoto wa mwisho na anadeka
Ntuzu anaonekana ni baba wa watoto wawili hivi...na anampenda sana na kumjali mkewe
..
mwallu nakuhitaji parokiani sasa hivi.....Kaizer ni m'baba mmoja mrefu kiasi na ana mwili wa wastani,anapenda sana familia yake..na kila siku lazima anywe bia
Asprin ni mrefu kiasi lakini kutokana na unene na kitambi chake kikubwa anaaonekana mfupi..anapenda utani sana wa kibazazi lakini kiuhalisia wala si bazazi
sungura1980..ni kijana mtanashati ,mpole na hana majivuno
figganigga huyu ni mrefu na aanapenda sifa
lara 1 ni msichana anaependa kufuata kile moyo wake unataka..hata watu alfu mpinge hatojali
miss neddy ni mtoto wa mwisho na anadeka
Mwanyasi ni mkaka mpole anajiheeshimu,anapenda masihara kiasi,,,ila ukimchokoza cha moto utakiona
Ntuzu anaonekana ni baba wa watoto wawili hivi...na anampenda sana na kumjali mkewe
mwekundu huyu ni mtaratibu..anapenda kampani ya wasichana wembamba warembo sana...halafu ni mtu maarufu maeneo ya kwao
Karucee ni mdada mchangamfu kiasi,anampenda Mungu na anapenda kuijpa raha/kujirusha kiasi
..
Kaizer ni m'baba mmoja mrefu kiasi na ana mwili wa wastani,anapenda sana familia yake..na kila siku lazima anywe bia
Asprin ni mrefu kiasi lakini kutokana na unene na kitambi chake kikubwa anaaonekana mfupi..anapenda utani sana wa kibazazi lakini kiuhalisia wala si bazazi
sungura1980..ni kijana mtanashati ,mpole na hana majivuno
figganigga huyu ni mrefu na aanapenda sifa
lara 1 ni msichana anaependa kufuata kile moyo wake unataka..hata watu alfu mpinge hatojali
miss neddy ni mtoto wa mwisho na anadeka
Mwanyasi ni mkaka mpole anajiheeshimu,anapenda masihara kiasi,,,ila ukimchokoza cha moto utakiona
Ntuzu anaonekana ni baba wa watoto wawili hivi...na anampenda sana na kumjali mkewe
mwekundu huyu ni mtaratibu..anapenda kampani ya wasichana wembamba warembo sana...halafu ni mtu maarufu maeneo ya kwao
Karucee ni mdada mchangamfu kiasi,anampenda Mungu na anapenda kuijpa raha/kujirusha kiasi
..
umeona eh! analeta ligi sio ngoja niendelee kubishana naye.Washawasha umenipatia kabisa sema huyu a.rahabu anabisha tu
Haya binamu, ntajitahidi kurudia tena kukuimagine!
binamu ukishindwa waulize hawa charty na miss chagga wanaweza kukusaidia kuimagine.....
MziziMkavu sio mtu mzima sana,lakini ana busara na hekima, Asprin atakuwa Serengeti boy,penda penda, mwallu ni mcha Mungu ila bado ni binti mdogo sana, FaizaFoxy ni bibi wa miaka kama 70 akili yake imezeeka, a.rahabu ni kigori tu miaka 22 hivi lakini anajifanya kakua, miss neddy kamiss miss hivi Evelyn Salt ni dogo kabisa miaka 19 lakini kakua juzi juzi tu,, utafiti kijana mtanashati,msafi,busara sana,,,