Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal!
Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande?
Mpeleka taarifa alimueleza Mh Rais kuwa Yanga ilitoa public statement inayomtaka Feisal kufika Ofisin kwa Yanga ili waweze kumalizana kama yeye mwenyewe anataka kuvunja mkataba apigiwe hesabu zake anunue mkataba wake awe huru? Au wao wanahisi Yanga wanasema aende basi jicho lao lipo kwamba anaitwa aende akacheze tu?