Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal!
Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande?
Mpeleka taarifa alimueleza Mh Rais kuwa Yanga ilitoa public statement inayomtaka Feisal kufika Ofisin kwa Yanga ili waweze kumalizana kama yeye mwenyewe anataka kuvunja mkataba apigiwe hesabu zake anunue mkataba wake awe huru? Au wao wanahisi Yanga wanasema aende basi jicho lao lipo kwamba anaitwa aende akacheze tu?
View attachment 2647362
Wafanyie wepesi hupi labda?
Ikifanya hivi taswira ya klabu itakuwaje? Positive or Negative?Wana uwezo wa kumruhusu kwa hela isiyo na ushindani, labda alipe hiyo 100m ya ku sign, na wakampa uhuru wa kuvunja mkataba. Ni kama huruma bila kushikilia.
Ni kama kumsaidia tu dogo, ni sawa na mtu aingie mkataba na mumu wa kuuza nyumba, mume afariki, mke adai, na uamue tu, okay rudisheni hela niliyolipa mbaki na nyumba yenu.
Yanga wanachoamua hakina shida kokote kule, wakimruhusu, dogo anaenda sajiliwa kwingine bila shida au mgogoro wowote.
Washajiandaa na kupanada ndege...ila hawana raha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mama amewakamataa patamuuuu, hawana pa kutokeaaaa.
Wanabakii kujilizaa urohoo mchezooo, woiiiiii
Pilau haliliwii bureeeee.
Pilau imewatokea puani....Washajiandaa na kupanada ndege...ila hawana raha...
Serikali ina mkono mrefu
Hakika...hakuna mwanasiasa anaefanya kitu bila kutegemea political gain...Pilau imewatokea puani....
This is Africa its done fei toto yupo huruNinachojua mimi issue ikishafika kwenye simba na Yanga basi inchi inagawanyika! Ata ao waliopo karibu na mama naamini watauuliza kwani we unaelewa nn kuhusu hii issue? Wataanza kumpa mkasa mzima hawa hawa ambao wapo upande wa Gangana
Kwa mtazamo wako unaona haiko hivyo?Kama umemsikiliza vizuri utaona kabisa Rais anaamini Feisal anaonewa, au Yanga wanamlazimisha Feisal kubaki Yanga!
Feisal anataka kuvunja mkataba wake wa kipengele kilichopo kwenye huo huo mkataba na ndiyo maana alitoa 112M.Feisal hataki kununua mkataba.Nadhani hapo ndipo tatizo lilipo.Lakini naamini hili swala litakwisha week hii na tutabaki hapa kusemezana tenaMkuu issue ya kukaa kushindwan haikuwa mjadala ulikuwa personal tu na issue ilikuwa kumshawishi arudi! Sasa kagoma kurudi basi si unataka kununua mkataba wako? Njoo tupigiane hesabu alafu sio lazima aende yeye Feisal! Atume wanasheria wake na watu wake anao waamini basi! Yanga itengeneze hesabu zake imkabidhi anunue mkataba wake awe free.
Vya bure gharama,njooni Ikulu kuleni pilau na masotojo wakachekelea [emoji23][emoji23].Baada ya kushiba wakapewa bill yao ambayo ni 'malizaneni na Fei Toto aende zake' Uto wakanuna [emoji35][emoji35].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mama amewakamataa patamuuuu, hawana pa kutokeaaaa.
Wanabakii kujilizaa urohoo mchezooo, woiiiiii
Pilau haliliwii bureeeee.
Kwani hapa issue nani anataka kuvunjaje mkataba au utarstibu gani unapaswa kufuata kuvunja mkataba? Rage ameshauli kijana amuombe ata yeye aende akakae na Yanga, Kimsingi Feisal anapaswa kununua mkataba wake uliobaki ambao kwa hesabu za haraka za Rage hautozidi Million 300Feisal anataka kuvunja mkataba wake wa kipengele kilichopo kwenye huo huo mkataba na ndiyo maana alitoa 112M.Feisal hataki kununua mkataba.Nadhani hapo ndipo tatizo lilipo.Lakini naamini hili swala litakwisha week hii na tutabaki hapa kusemezana tena
Hopefully she is.Fatma karume shangazi.
Rais anaonekana kufuatilia sana mitandao ya kijamii.
Yupo karibu mno.
Inaonyesha RAIS ANASHINDWA hata HUMU JF.
Akiangalia Nyuzi za KIPUMBAVU ZA Wana UTOPOLO