Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

Na kama atatulazimisha sana kutaka tumwachie bure sisi Young African tutajitenga kutoka kwenye serikali ya Tanzania na tutaanzisha nchi yetu
 
baada ya kauli ile ya raisi kitakachofanywa na yanga ni kutumia bango hili hili kumuita fei wayamalize km raisi alivyosema sasa yeye kwasababu ni brain empty atakwamisha mpango wa raisi kwa kutokuja au kuja ila kukataa utaratibu wa kumalizana
Kwamba watatoa statement kama hii ya March 6
IMG_20230605_234542.jpg
 
Sasa busara hip unqona Yanga wanapaswa kuitumia ambayo kimsingi hawajaitumia?
Feisal aliweka pesa kuvunja mkataba kwa mujibu wa kipengele kilichopo kwenye mkataba,Yanga wakarudisha pesa na kukimbilia TFF kulalamika kuwa Feisal anavunja mkataba isivyo halali.Hapa issue ni je hakukuwa na kipengele cha kuvunja huo mkataba ambacho kilitaja kabisa na kiasi cha pesa pamoja na mishahara ya miezi mitatu? Why Yanga hawataki kukubali kuwa hiki kipengele kipo kwa huo mkataba?
 
Vya bure gharama,njooni Ikulu kuleni pilau na masotojo wakachekelea [emoji23][emoji23].Baada ya kushiba wakapewa bill yao ambayo ni 'malizaneni na Fei Toto aende zake' Uto wakanuna [emoji35][emoji35].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
 
Yani Dunia hii siyo sawa kabisa. Yani sasa hivi Yanga ndiyo wataanza kumbembeleza Feisali awape walau hiyo 112m waliyokuwa wanakataa ha ha ha ha ha [emoji851][emoji851][emoji851] wakati mwanzo Feisali ndiyo aliwabembeleza wakawa hawataki. Hapo tuite kupindua meza au kapeti. Vipi akisema hata hiyo pesa ya awali keshamtibia baba yake maan aliesema baba yake ni mgonjwa sn na anategemea malipo ya mpira kumtibia. Hapo itakuwa mbwa kala mtoto [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hataree sasa.
 
wanasiasa wanatakiwa kukaa mbali kabisa na michezo, watatugawa sana wakiingilia. pia, hakuna watu wanasaidiana kama wanzanzibar, mzenji hata akikamatwa na kosa bara leo, kesho hadi waziri yeyote wa jamhuri anajua. ni kama wana kaumoja ka kwenye magroup hadi ya whatsapp. kuna kamanda mmoja aliwahi kutoa siri kwamba, ukikamata mzanji afu usipigiwe simu hadi na mawaziri wa kizenji, huyo labda kama ana chogo. hapo mh moyo unamuuma mno kwasababu ni mzenji, sio kwasababuni Mtanzania. ukweli ndio huu.
Alivotoa ndege na pesa mlienda kwa kigezo cha motisha leo yeye kaongea kama mdau wa michezo amewaomba mmalizane na Feisal sababu anaumia yeye kama mdau .TUPUNGUZE UNAFIKI
 
Feisal aliweka pesa kuvunja mkataba kwa mujibu wa kipengele kilichopo kwenye mkataba,Yanga wakarudisha pesa na kukimbilia TFF kulalamika kuwa Feisal anavunja mkataba isivyo halali.Hapa issue ni je hakukuwa na kipengele cha kuvunja huo mkataba ambacho kilitaja kabisa na kiasi cha pesa pamoja na mishahara ya miezi mitatu? Why Yanga hawataki kukubalo kuwa hiki kipengele kipo kwa huo mkataba?
Ili utukeleze kipengere hicho kuna vitu vinatakiwa viwe vinekiukwa kwa mujibu wa mkataba kwa upande wa mwajili ndo unatumia hiko kipengere alichotumia, hapo ndipo kuna kutokucheza, kutolipwa mshahara wako etc Sasa hapa hakuna ambacho Yanga walikiuka hivo Feisal anataka kuvunja mkabata bila sababu ya msingi kama anataka kufanya hivo kuna option 2 tu

1. Club inayomtaka akazungumze na Yanga

2. Feisal anunue mkataba wake uliobaki, kwa mujibu wa kanuni kuna kupigiana hesabu hapa mpaka kipatikane hicho kias kitakachotajwa kwa mujibu wa Yanga!

Kipengere cha mwenyekiti wa Sportanza (Hassan Kisoki) kakielezea sana kwamba Feisal alipaswa kutumia kipengere hiki cha 17 cha FIFA ili kuvunja mkataba wake! Ikibidi aende ofisi za Spotanza yeye kama mwenyekiti wa spotanza atamsadia kuandika barua kwa Yanga alafu watasubiri majibu ya Yanga kuwa watahitaji kias gani cha fedha kwa mujibu wa maelekezo ya FIFA!
 
Thubutuu unadhani hadi Rais kusema pale hajui kilichokua kinaendeleaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Imeishaaaaa hiyooooooo
Kauli ya Rais hupitiwa na watu wengi kabla hajasoma hata pale alikua kama anafanya hotuba ivi yote yameandaliwa na upembuzi yakinifu umefanya hajaongea bahati mbaya anajua nini anasema watu wa visiwani ni kama Wayahudi😁
 
Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal!

Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande?

Mpeleka taarifa alimueleza Mh Rais kuwa Yanga ilitoa public statement inayomtaka Feisal kufika Ofisin kwa Yanga ili waweze kumalizana kama yeye mwenyewe anataka kuvunja mkataba apigiwe hesabu zake anunue mkataba wake awe huru? Au wao wanahisi Yanga wanasema aende basi jicho lao lipo kwamba anaitwa aende akacheze tu?
View attachment 2647362
unadhanoRais anaishi kisiwani hamjui Feitoto

kama anawajua hadi kina Bandezu atashindwa kujua yanayotokea kwa Feisal?
 
Ili utukeleze kipengere hicho kuna vitu vinatakiwa viwe vinekiukwa kwa mujibu wa mkataba kwa upande wa mwajili ndo unatumia hiko kipengere alichotumia, hapo ndipo kuna kutokucheza, kutolipwa mshahara wako etc Sasa hapa hakuna ambacho Yanga walikiuka hivo Feisal anataka kuvunja mkabata bila sababu ya msingi kama anataka kufanya hivo kuna option 2 tu

1. Club inayomtaka akazungumze na Yanga

2. Feisal anunue mkataba wake uliobaki, kwa mujibu wa kanuni kuna kupigiana hesabu hapa mpaka kipatikane hicho kias kitakachotajwa kwa mujibu wa Yanga!

Kipengere cha mwenyekiti wa Sportanza (Hassan Kisoki) kakielezea sana kwamba Feisal alipaswa kutumia kipengere hiki cha 17 cha FIFA ili kuvunja mkataba wake! Ikibidi aende ofisi za Spotanza yeye kama mwenyekiti wa spotanza atamsadia kuandika barua kwa Yanga alafu watasubiri majibu ya Yanga kuwa watahitaji kias gani cha fedha kwa mujibu wa maelekezo ya FIFA!
Tatizo ninaloliona hapa ni lile la viongozi wa Yanga tangu mwanzo kuamini Feisal kuna team inayomuhitaji.Lakini mwenyewe keshaweka wazi hakuna team inayomuhitaji bali anataka aende kutafuta maisha pengine.

Hakika nakuambia utashangaa sana katika hili swala.Feisal ataondoka kwa kipengele hicho hicho na atalipa hiyo 112M mliyoikataa na nitakukumbusha.Uzuri hakuna muda mrefu tutaupata mrejesho utakaopelekwa kwa Mama.
 
Mkuu issue ya kukaa kushindwan haikuwa mjadala ulikuwa personal tu na issue ilikuwa kumshawishi arudi! Sasa kagoma kurudi basi si unataka kununua mkataba wako? Njoo tupigiane hesabu alafu sio lazima aende yeye Feisal! Atume wanasheria wake na watu wake anao waamini basi! Yanga itengeneze hesabu zake imkabidhi anunue mkataba wake awe free.
Hulo unalilisema yanga walilikataa, wakatoa mapendekezo matatu, hilo ambalo unalisema wewe kwenye mapendekezo ya yanga halipo na hawataki kulisikia
 
Kauli ya Rais hupitiwa na watu wengi kabla hajasoma hata pale alikua kama anafanya hotuba ivi yote yameandaliwa na upembuzi yakinifu umefanya hajaongea bahati mbaya anajua nini anasema watu wa visiwani ni kama Wayahudi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] wejamaàaa
 
Hulo unalilisema yanga walilikataa, wakatoa mapendekezo matatu, hilo ambalo unalisema wewe kwenye mapendekezo ya yanga halipo na hawataki kulisikia
Labda kama hujawaelewa Yanga
 
Hulo unalilisema yanga walilikataa, wakatoa mapendekezo matatu, hilo ambalo unalisema wewe kwenye mapendekezo ya yanga halipo na hawataki kulisikia
Labda kama hujawaelewa
Tatizo ninaloliona hapa ni lile la viongozi wa Yanga tangu mwanzo kuamini Feisal kuna team inayomuhitaji.Lakini mwenyewe keshaweka wazi hakuna team inayomuhitaji bali anataka aende kutafuta maisha pengine.

Hakika nakuambia utashangaa sana katika hili swala.Feisal ataondoka kwa kipengele hicho hicho na atalipa hiyo 112M mliyoikataa na nitakukumbusha.Uzuri hakuna muda mrefu tutaupata mrejesho utakaopelekwa kwa Mama.
Analipa milion 112 kwa mujibu wa kanuni zipi? Hiko kipengere kinatumika kama kukiwa na sababu za msingi ambazo zimeainishwa katika mkataba, kama huna sababu za msingi inakubidi ununue mkataba wako ambapo unapigiwa hesabu mkataba wako uliobaki na hizo sining fee ambapo kwa mujibu wa Rage alikadilia haitozidi milion 300 na kama Yanga watazidisha hapo basi watakuwa wamekosea sana
 
Back
Top Bottom