kwanini fei na sio wengine? ndio swali.Kama yanga walipewa mamilioni ya kila Goli walilofunga wakapokea tena kwa shangwe, Wakapewa ndege ya Serikali (kwa gharama za walipa kodi) na wakakubali...basi na wao wakubali Ombi la Rais la Kumalizana na Fei.....
"Usipokuwa tayari kuliwa Huli"
Kwani barua waliyotoa yanga March 6 ilikuwa na mapumgufu yoyote? Mbona iko sawa kabisa ila haitekelezwi upande Feisal? Kwanini issue hii tunataka kuipeleka kwa Emotional?Kama yanga walipewa mamilioni ya kila Goli walilofunga wakapokea tena kwa shangwe, Wakapewa ndege ya Serikali (kwa gharama za walipa kodi) na wakakubali...basi na wao wakubali Ombi la Rais la Kumalizana na Fei.....
"Usipokuwa tayari kuliwa Huli"
Mkuu issue ya kukaa kushindwan haikuwa mjadala ulikuwa personal tu na issue ilikuwa kumshawishi arudi! Sasa kagoma kurudi basi si unataka kununua mkataba wako? Njoo tupigiane hesabu alafu sio lazima aende yeye Feisal! Atume wanasheria wake na watu wake anao waamini basi! Yanga itengeneze hesabu zake imkabidhi anunue mkataba wake awe free.Fei anasema walikaa masaa 6 wakashindwana. Ila haina maana tena.
Ndo anachotaka Fei. Unadhani kuna shida basi, tatizo inaonekana sababu dogo ni jeuri palikuwa na mtu anataka kumnyoosha kwa kutumia mbinu za kimafia zinazoitwa "hajafata taratibu"Mkuu issue ya kukaa kushindwan haikuwa mjadala ulikuwa personal tu na issue ilikuwa kumshawishi arudi! Sasa kagoma kurudi basi si unataka kununua mkataba wako? Njoo tupigiane hesabu alafu sio lazima aende yeye Feisal! Atume wanasheria wake na watu wake anao waamini basi! Yanga itengeneze hesabu zake imkabidhi anunue mkataba wake awe free.
Ninachojua mimi issue ikishafika kwenye simba na Yanga basi inchi inagawanyika! Ata ao waliopo karibu na mama naamini watauuliza kwani we unaelewa nn kuhusu hii issue? Wataanza kumpa mkasa mzima hawa hawa ambao wapo upande wa Gangana🤣🤣🤣 utopolo bana,yamewekewa ndoano yamenasa🤣🤣yamepewa ndege bure,yakachekelea,yakapewa mil 20 yakawa yanapiga makelele mitaani,🤣sasa yameitwa ikulu kulipia,ukila lazima uliwe,suala la feitoto limeisha hivoo,hakuna cha injinia uchwara wala wala mihogo🏌️
Kumalizana nae kivipi?Kama yanga walipewa mamilioni ya kila Goli walilofunga wakapokea tena kwa shangwe, Wakapewa ndege ya Serikali (kwa gharama za walipa kodi) na wakakubali...basi na wao wakubali Ombi la Rais la Kumalizana na Fei.....
"Usipokuwa tayari kuliwa Huli"
Zanzibar kwanza. Umenierewa????kwanini fei na sio wengine? ndio swali.
Masotojo ya ikulu yamewaponza[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utopolo bana,yamewekewa ndoano yamenasa[emoji1787][emoji1787]yamepewa ndege bure,yakachekelea,yakapewa mil 20 yakawa yanapiga makelele mitaani,[emoji1787]sasa yameitwa ikulu kulipia,ukila lazima uliwe,suala la feitoto limeisha hivoo,hakuna cha injinia uchwara wala wala mihogo[emoji2506]
Ngumu kumezaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama yanga walipewa mamilioni ya kila Goli walilofunga wakapokea tena kwa shangwe, Wakapewa ndege ya Serikali (kwa gharama za walipa kodi) na wakakubali...basi na wao wakubali Ombi la Rais la Kumalizana na Fei.....
"Usipokuwa tayari kuliwa Huli"
Mlipokua mnafurahia kwenda kula pilau ikuluu? Hamkujua kuwa ni mtegooo??wanasiasa wanatakiwa kukaa mbali kabisa na michezo, watatugawa sana wakiingilia. pia, hakuna watu wanasaidiana kama wanzanzibar, mzenji hata akikamatwa na kosa bara leo, kesho hadi waziri yeyote wa jamhuri anajua. ni kama wana kaumoja ka kwenye magroup hadi ya whatsapp. kuna kamanda mmoja aliwahi kutoa siri kwamba, ukikamata mzanji afu usipigiwe simu hadi na mawaziri wa kizenji, huyo labda kama ana chogo. hapo mh moyo unamuuma mno kwasababu ni mzenji, sio kwasababuni Mtanzania. ukweli ndio huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mama amewakamataa patamuuuu, hawana pa kutokeaaaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utopolo bana,yamewekewa ndoano yamenasa[emoji1787][emoji1787]yamepewa ndege bure,yakachekelea,yakapewa mil 20 yakawa yanapiga makelele mitaani,[emoji1787]sasa yameitwa ikulu kulipia,ukila lazima uliwe,suala la feitoto limeisha hivoo,hakuna cha injinia uchwara wala wala mihogo[emoji2506]
Thubutuu unadhani hadi Rais kusema pale hajui kilichokua kinaendeleaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninachojua mimi issue ikishafika kwenye simba na Yanga basi inchi inagawanyika! Ata ao waliopo karibu na mama naamini watauuliza kwani we unaelewa nn kuhusu hii issue? Wataanza kumpa mkasa mzima hawa hawa ambao wapo upande wa Gangana
Nadhani huyu "msadukayo" aachiwe aende zake !!! Mwanaume kupika majungu ni aibuFei: Nitawarudia wale wale walionichangia nikaweka m114 ambao wengine wapo humo humo ndani ya Yanga.
rais kaomba walimalize hajasema wamalizane vipiKauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal!
Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande?
Mpeleka taarifa alimueleza Mh Rais kuwa Yanga ilitoa public statement inayomtaka Feisal kufika Ofisin kwa Yanga ili waweze kumalizana kama yeye mwenyewe anataka kuvunja mkataba apigiwe hesabu zake anunue mkataba wake awe huru? Au wao wanahisi Yanga wanasema aende basi jicho lao lipo kwamba anaitwa aende akacheze tu?
View attachment 2647362