Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

Fatma karume shangazi.

Rais anaonekana kufuatilia sana mitandao ya kijamii.

Yupo karibu mno.
Inaonyesha RAIS ANASHINDWA hata HUMU JF.
Akiangalia Nyuzi za KIPUMBAVU ZA Wana UTOPOLO
 
Rais amekuwa kama Mama tu, na Huruma kwa kijana hata kama kijana kakosea, kwa hapa, ni bora tu kumfanyia wepesi huyu dogo aende kufia huko mbele
 
Rais amekuwa kama Mama tu, na Huruma kwa kijana hata kama kijana kakosea, kwa hapa, ni bora tu kumfanyia wepesi huyu dogo aende kufia huko mbele
Wafanyie wepesi hupi labda?
 
Wafanyie wepesi hupi labda?

Wana uwezo wa kumruhusu kwa hela isiyo na ushindani, labda alipe hiyo 100m ya ku sign, na wakampa uhuru wa kuvunja mkataba. Ni kama huruma bila kushikilia.

Ni kama kumsaidia tu dogo, ni sawa na mtu aingie mkataba na mumu wa kuuza nyumba, mume afariki, mke adai, na uamue tu, okay rudisheni hela niliyolipa mbaki na nyumba yenu.

Yanga wanachoamua hakina shida kokote kule, wakimruhusu, dogo anaenda sajiliwa kwingine bila shida au mgogoro wowote.
 
Ikifanya hivi taswira ya klabu itakuwaje? Positive or Negative?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mama amewakamataa patamuuuu, hawana pa kutokeaaaa.

Wanabakii kujilizaa urohoo mchezooo, woiiiiii
Pilau haliliwii bureeeee.
Washajiandaa na kupanada ndege...ila hawana raha...
Serikali ina mkono mrefu
 
Ninachojua mimi issue ikishafika kwenye simba na Yanga basi inchi inagawanyika! Ata ao waliopo karibu na mama naamini watauuliza kwani we unaelewa nn kuhusu hii issue? Wataanza kumpa mkasa mzima hawa hawa ambao wapo upande wa Gangana
This is Africa its done fei toto yupo huru
 
Feisal anataka kuvunja mkataba wake wa kipengele kilichopo kwenye huo huo mkataba na ndiyo maana alitoa 112M.Feisal hataki kununua mkataba.Nadhani hapo ndipo tatizo lilipo.Lakini naamini hili swala litakwisha week hii na tutabaki hapa kusemezana tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mama amewakamataa patamuuuu, hawana pa kutokeaaaa.

Wanabakii kujilizaa urohoo mchezooo, woiiiiii
Pilau haliliwii bureeeee.
Vya bure gharama,njooni Ikulu kuleni pilau na masotojo wakachekelea [emoji23][emoji23].Baada ya kushiba wakapewa bill yao ambayo ni 'malizaneni na Fei Toto aende zake' Uto wakanuna [emoji35][emoji35].
 
Feisal anataka kuvunja mkataba wake wa kipengele kilichopo kwenye huo huo mkataba na ndiyo maana alitoa 112M.Feisal hataki kununua mkataba.Nadhani hapo ndipo tatizo lilipo.Lakini naamini hili swala litakwisha week hii na tutabaki hapa kusemezana tena
Kwani hapa issue nani anataka kuvunjaje mkataba au utarstibu gani unapaswa kufuata kuvunja mkataba? Rage ameshauli kijana amuombe ata yeye aende akakae na Yanga, Kimsingi Feisal anapaswa kununua mkataba wake uliobaki ambao kwa hesabu za haraka za Rage hautozidi Million 300
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…