Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

Na kama atatulazimisha sana kutaka tumwachie bure sisi Young African tutajitenga kutoka kwenye serikali ya Tanzania na tutaanzisha nchi yetu
 
baada ya kauli ile ya raisi kitakachofanywa na yanga ni kutumia bango hili hili kumuita fei wayamalize km raisi alivyosema sasa yeye kwasababu ni brain empty atakwamisha mpango wa raisi kwa kutokuja au kuja ila kukataa utaratibu wa kumalizana
Kwamba watatoa statement kama hii ya March 6
 
Sasa busara hip unqona Yanga wanapaswa kuitumia ambayo kimsingi hawajaitumia?
Feisal aliweka pesa kuvunja mkataba kwa mujibu wa kipengele kilichopo kwenye mkataba,Yanga wakarudisha pesa na kukimbilia TFF kulalamika kuwa Feisal anavunja mkataba isivyo halali.Hapa issue ni je hakukuwa na kipengele cha kuvunja huo mkataba ambacho kilitaja kabisa na kiasi cha pesa pamoja na mishahara ya miezi mitatu? Why Yanga hawataki kukubali kuwa hiki kipengele kipo kwa huo mkataba?
 
Vya bure gharama,njooni Ikulu kuleni pilau na masotojo wakachekelea [emoji23][emoji23].Baada ya kushiba wakapewa bill yao ambayo ni 'malizaneni na Fei Toto aende zake' Uto wakanuna [emoji35][emoji35].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
 
ndo shida ya kupenda Ubwabwa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hataree sasa.
 
Alivotoa ndege na pesa mlienda kwa kigezo cha motisha leo yeye kaongea kama mdau wa michezo amewaomba mmalizane na Feisal sababu anaumia yeye kama mdau .TUPUNGUZE UNAFIKI
 
Ili utukeleze kipengere hicho kuna vitu vinatakiwa viwe vinekiukwa kwa mujibu wa mkataba kwa upande wa mwajili ndo unatumia hiko kipengere alichotumia, hapo ndipo kuna kutokucheza, kutolipwa mshahara wako etc Sasa hapa hakuna ambacho Yanga walikiuka hivo Feisal anataka kuvunja mkabata bila sababu ya msingi kama anataka kufanya hivo kuna option 2 tu

1. Club inayomtaka akazungumze na Yanga

2. Feisal anunue mkataba wake uliobaki, kwa mujibu wa kanuni kuna kupigiana hesabu hapa mpaka kipatikane hicho kias kitakachotajwa kwa mujibu wa Yanga!

Kipengere cha mwenyekiti wa Sportanza (Hassan Kisoki) kakielezea sana kwamba Feisal alipaswa kutumia kipengere hiki cha 17 cha FIFA ili kuvunja mkataba wake! Ikibidi aende ofisi za Spotanza yeye kama mwenyekiti wa spotanza atamsadia kuandika barua kwa Yanga alafu watasubiri majibu ya Yanga kuwa watahitaji kias gani cha fedha kwa mujibu wa maelekezo ya FIFA!
 
Thubutuu unadhani hadi Rais kusema pale hajui kilichokua kinaendeleaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Imeishaaaaa hiyooooooo
Kauli ya Rais hupitiwa na watu wengi kabla hajasoma hata pale alikua kama anafanya hotuba ivi yote yameandaliwa na upembuzi yakinifu umefanya hajaongea bahati mbaya anajua nini anasema watu wa visiwani ni kama Wayahudi😁
 
unadhanoRais anaishi kisiwani hamjui Feitoto

kama anawajua hadi kina Bandezu atashindwa kujua yanayotokea kwa Feisal?
 
Tatizo ninaloliona hapa ni lile la viongozi wa Yanga tangu mwanzo kuamini Feisal kuna team inayomuhitaji.Lakini mwenyewe keshaweka wazi hakuna team inayomuhitaji bali anataka aende kutafuta maisha pengine.

Hakika nakuambia utashangaa sana katika hili swala.Feisal ataondoka kwa kipengele hicho hicho na atalipa hiyo 112M mliyoikataa na nitakukumbusha.Uzuri hakuna muda mrefu tutaupata mrejesho utakaopelekwa kwa Mama.
 
Hulo unalilisema yanga walilikataa, wakatoa mapendekezo matatu, hilo ambalo unalisema wewe kwenye mapendekezo ya yanga halipo na hawataki kulisikia
 
Kauli ya Rais hupitiwa na watu wengi kabla hajasoma hata pale alikua kama anafanya hotuba ivi yote yameandaliwa na upembuzi yakinifu umefanya hajaongea bahati mbaya anajua nini anasema watu wa visiwani ni kama Wayahudi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] wejamaĆ aa
 
Hulo unalilisema yanga walilikataa, wakatoa mapendekezo matatu, hilo ambalo unalisema wewe kwenye mapendekezo ya yanga halipo na hawataki kulisikia
Labda kama hujawaelewa Yanga
 
Hulo unalilisema yanga walilikataa, wakatoa mapendekezo matatu, hilo ambalo unalisema wewe kwenye mapendekezo ya yanga halipo na hawataki kulisikia
Labda kama hujawaelewa
Analipa milion 112 kwa mujibu wa kanuni zipi? Hiko kipengere kinatumika kama kukiwa na sababu za msingi ambazo zimeainishwa katika mkataba, kama huna sababu za msingi inakubidi ununue mkataba wako ambapo unapigiwa hesabu mkataba wako uliobaki na hizo sining fee ambapo kwa mujibu wa Rage alikadilia haitozidi milion 300 na kama Yanga watazidisha hapo basi watakuwa wamekosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…