Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Umewahi kufikiri kwenye hii miaka ya artificial intelligence robots zikianza kuwepo hadi vijijini utafanya kazi gani? Miaka 30 iliyopita ukiwa na taarifa ya kupeleka kijiji jirani ulikuwa unatuma mtu, leo taarifa hiyo hiyo unaipeleka sehemu yoyote ulimwenguni kwa sekunde chache. Kwa hiyo hoja ya mwandishi ipo na inafikirisha sana sababu huko mbeleni tutakuwa hatuna kazi za kufanya anyway.
Tutakua na kazi ya kumaintain na kuprogram hayo marobot.