Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

Billion moja na kuendelea

Mchanganuo

Pesa yote nunua Gvt bond

Faida approximately 120m annually equivalent to 10M monthly

Hapa utakaa popote Tanzania na utakula milo yote muhimu na hela ya kusaidia shida za hapa na pale
Mkuu, hiyo unayotaka kununua ni nini? Fafanua vizuri basi. Kuna 1.3Bil kwenye ac ya Bibi. Nataka kufanya tukio

Changanua basi, hata nikisema nakimbia, nijue nakimbia
 
Technically i need a minimum of 5 million dollars.
Twende taratibu, hyo 5M nkiiweka fixed at a minimu of 5% return per annum nna uhakika wa kupata 41 Million tanzanian shillings per month.
Ukitoa max. Kodi ya 20% nabaki na 32.8M approximately 33M.
Therefore per day nna uhakika wa kuspend about 1M bila kuyumba.
Niendelee na uchambuzi au niishie hapa hapa??
Kwamba hadi sasa benki bado zinatoa Riba? Au unafanya kukopesha makampuni! Au basi acha tu, haya mambo yana wenyewe
 
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.

Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
kufanya kazi ni afya mzee. though mimi nahitaji bilioni 50 tu ningestaafu.
 
ntatafuta kingine tu ila nataka ule uhuru flani hivi, siishi kwa ratiba

Utatafuta kazi nyingine?

Unachohitaji ni uhuru sio kuacha kazi. Kazi na maisha ya mwanadamu vinaenda sambamba regardless of kipato ndo maana mabilionea kila siku wanaanzisha foundations na projects mpya kuwa keep busy sio kulala tu ndani.

Unadhani Kikwete hana mpunga wakulala tu ndani hadi Mola atakapomuita? Kwanini bado kila siku anahangaika majukwani, mikutanoni ndani na nje ya nchi na bado ana JK Foundation.

Bill Gates ana Gates foundation. Etc etc

Studies show wastaafu wanazorota kiafya haraka mara tu wakistaafu. Ukiacha kujishughulisha ndo mwanzo wa mwisho wako.
 
Kwahio unadhani Diamond asingeimba; au Messi kucheza mpira kama angekuwa halipwi?

Labda nikuulize kazi ni nini na pesa ni za nini ?; Kwa ufupi in the end its all about needs and wants..; Mtu akishapata zile basic needs anaanza kuangalia needs nyingine, na wale ambao ni vain na kwao kuridhika ni kuwa na kingi kuliko mwingine hawatatosheka iwapo mtaani kuna mtu anayemzidi hence the rat race (chasing an illusion)

Wengine kutengeneza pesa (yaani ule utengenezaji) ndio hobby yenyewe kila akiona digits zimeongezeka yeye ndio anapata usingizi....

To each their own....
 
Utatafuta kazi nyingine?

Unachohitaji ni uhuru sio kuacha kazi. Kazi na maisha ya mwanadamu vinaenda sambamba regardless of kipato ndo maana mabilionea kila siku wanaanzisha foundations na projects mpya kuwa keep busy sio kulala tu ndani.

Unadhani Kikwete hana mpunga wakulala tu ndani hadi Mola atakapomuita? Kwanini bado kila siku anahangaika majukwani, mikutanoni ndani na nje ya nchi na bado ana JK Foundation.

Bill Gates ana Gates foundation. Etc etc

Studies show wastaafu wanazorota kiafya haraka mara tu wakistaafu. Ukiacha kujishughulisha ndo mwanzo wa mwisho wako.
yah ntajishughulisha kidogo ntafungua hata awareness campaign for non religious people😂

huo uhuru wa kina bill gates huo, hayuko obligated kukaa mahali for 10hrs/day akisubiria kustaafu ndo nautaka
 
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.

Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
Ukimuoa Zuchu.
 
Mkuu, hiyo unayotaka kununua ni nini? Fafanua vizuri basi. Kuna 1.3Bil kwenye ac ya Bibi. Nataka kufanya tukio

Changanua basi, hata nikisema nakimbia, nijue nakimbia
Namna mbili ya kuweza wekeza hapa
1.kuna jamaa mmoja ni expert financial advisor naweza kukupa mawasiliano yake uongee nae ila uwekezaji wote ni safe maana hata husika na uwekezaji wako zaidi ya kulipia ushauri

2.nenda office za utt aims watakupa kila taarifa unayo takiwa kujua na ukafanya uwekezaji wako
 
Sasa kila mtu akipata kiasi anachokitaka na akakaa tu bila kazi kutakua na maisha? Hizo hela utazitumia kwenye nini wakati itakua hakuna uzalishaji? Kila mtu akiwa na hela nyingi,vitu vitapanda bei,itafika utanunua kilo ya sukari kwa shilingi laki 5 coz demand itakua kubwa kuliko supply,kuna watu wana hela za kutumia mpaka wajukuu zao ila bado wanafanya kazi,Elon musk,Bill Gates,Trump....

Acha mawazo ya kitoto,kufanya kazi ndio uhai wenyewe na pia ndio huduma kwa wengine.
 
Back
Top Bottom