raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kazi sio sabb ya pesa tu kujishughulisha ni tiba pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntatafuta kingine tu ila nataka ule uhuru flani hivi, siishi kwa ratibaKuacha kufanya kazi is the beginning of your end. Uache kufanya kazi ili ufanye nini sasa? Ulale au upulizane au uangalie TV siku nzima? Huo ni uzwazwa. Sema ufanye kazi under no pressure. Ufanye mambo kwa ufanisi.
Sio wanaume tu, hata wewe ukikaakaa tu unakula na kushiba utataka kuwekwa kila siku.Wanaume zetu wa kibongo kwa kupenda chini, bora mfanye kazi hivyo hivyo mbanwe.
Anyways kutokufanya kazi kabisa haiwezekani, huwezi amka ukalala ukala bata tu utapata depression.
Changamoto zinaleta balance ya afya ya akili.
ntatafuta cha kufanya tu, sitaki zile stress za 9 to 5Wanaume zetu wa kibongo kwa kupenda chini, bora mfanye kazi hivyo hivyo mbanwe.
Anyways kutokufanya kazi kabisa haiwezekani, huwezi amka ukalala ukala bata tu utapata depression.
Changamoto zinaleta balance ya afya ya akili.
umeanzaSh elfu 3 tu Boss
Weeee ngoja nitajaribu hata miezi 6 tu nione kama ntautaka daily, na huyu mzee alivyo busy sijui itakuwaje! 😆🤣Sio wanaume tu, hata wewe ukikaakaa tu unakula na kushiba utataka kuwekwa kila siku.
Yaani nipo na kitita sina stress, mbona K zitanikoma[emoji1787]
ntakua nafanya vitu nnavopenda tu, hata kwa kujitoleaKufanya kazi ndio utu wenyewe, bila kazi huna thamani duniani.
Halafu usipofanya kazi unafanya nini, ulevi, ngono nk.
Shida ni kuwa wewe utakuwa huru na yeye yupo busy, muwe na pesa za kutosha na hamna cha kufanya, kila kitu kipo ndani..hakika ni mwendo wa kuchakatana tu...tatizo utamkinai na kutaka kuonja nje🤣Weeee ngoja nitajaribu hata miezi 6 tu nione kama ntautaka daily, na huyu mzee alivyo busy sijui itakuwaje! 😆🤣
Kwamba mbususu zitakukoma! Nimecheka aisee! 😂
Kufsnya kazi ndio maisha yenyewe,ni part and parcel ya kuishi, maisha bila kuhangaika, yanapoteza utamu,it's a necessity,Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
Life haliko namna hiyo kijana, ubinadam unapimwa kwa uwezo wako wa kufanya kazi. Na kipato huwa hakitoshi coz kila kinapoongezeka na mahitaji yanaongezeka.ntakua nafanya vitu nnavopenda tu, hata kwa kujitolea
nataka niweze kufanya chochote nnachotaka mda wowote nnaotaka
ntapata tu kitu cha kupitisha mda,Kazi sio sabb ya pesa tu kujishughulisha ni tiba pia
🥴Huyo hata usimtag ........NILIMWAMBIA NIMTOLEE POSA ALIKATAA🤨
Ngoja aje mi sipo 😄🥴Huyo hata usimtag ........NILIMWAMBIA NIMTOLEE POSA ALIKATAA🤨
huko kwenye kuacha alama duniani kunanipa mimi manufaa gani?Kufsnya kazi ndio maisha yenyewe,ni part and parcel ya kuishi, maisha bila kuhangaika, yanapoteza utamu,it's a necessity,
Na Acha kuwaza kuwa maisha yanaisha pale unapokufa wewe! Dunia itaendelea kuwepo hata baada ya miaka miaka 500! Lazima uache mchango wako hapa duniani, ili wengine wafaidike, hao wenye pesa lakini bado wanafsnya kazi na kuangsika,wanajaribu kutatua matatizo ya wanadamu, dunia bado Ina njaa, watu wanahitaji ajira,tiba ya magonjwa mengi kama AIDS!
Kwa watu wadogo, ajira pesa kula, kusomesha ndio mwisho! Lakini kuna zaidi! Ondoka duniani, uiache bora kuliko ulivyoikuta, ajira za, kutosha, ukwasi, urithi wa majumba kwa kizazi chako nk, usiwe selfish,
😋umeanza
Wabongo wengi hawana uelewa na huu uwekezaji.Billion moja na kuendelea
Mchanganuo
Pesa yote nunua Gvt bond
Faida approximately 120m annually equivalent to 10M monthly
Hapa utakaa popote Tanzania na utakula milo yote muhimu na hela ya kusaidia shida za hapa na pale
🤣🤣🤣Tulia wewe🤒Ngoja aje mi sipo 😄