Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

SAHIHI ,,,,tena ukapata na mwenza wa maisha anaefata principles zako.
Hapo kwenye mwenza sasa ndo kimbembe.
Mimi naamini mwenza sahihi ni yule mnaeanza nae safari tangu ukiwa apeche aroro. Huyo anakua anafuata principles zako na pia anakua na uchungu na unachokipata.
Changamoto inakuja pale ambapo wanaume wengi tukishaanza kupata mtonyo tunakua vibolodinda. Kila sehem tunataka kutembeza mkia.
Wanawake wakishaona hvo, ni vurugu tu, mixa kuuana au kulogana.
Hata bible inasema kila mtu afurahie mke wa ujana wake.
 
Govt Bond hazina hasara?
Sijawahi sikikia mtu amepata hasara and in case ikatokea hasara utarudi kutafuta ulipo ipata 1 billion

Pia ukiwa na 1 billion unaweza ukawa unakula 1,388,888 kila mwezi kwa miaka 60 mfurulizo*

Hivyo kama utaishi miaka michache unagawanya miaka yako kwa 0ne billion Kisha unaangalia kwa mwezi au siku utakua unatumia bei gani
 
Technically i need a minimum of 5 million dollars.
Twende taratibu, hyo 5M nkiiweka fixed at a minimu of 5% return per annum nna uhakika wa kupata 41 Million tanzanian shillings per month.
Ukitoa max. Kodi ya 20% nabaki na 32.8M approximately 33M.
Therefore per day nna uhakika wa kuspend about 1M bila kuyumba.
Niendelee na uchambuzi au niishie hapa hapa??
endelea
 
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.

Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
Kwa pesa isiyokuwa ya kufuja wala kujinyima, kwa siku mtu unahitaji angalau 100,000/= hapo nyumba ya kuishi unayo tayari

Kwa hiyo kwa mwaka unahitaji angalau 36, 600,000/=
Kwa miaka 10 unahiaji million 366
Kwenye hizi ngeza million zingine 36.60 kutokana na inflation
Hapo zinakuwa angalau million 410 kwa miaka kumi

Million hizi 410 zidisha sasa na miaka yako ya kuishi ambayo unakisia kuwa imeabaki, ukichukualia kuwa utaishi angala miaka 95+
 
Kufanya kazi kunatufanya tujifunze vitu vingi sana,

Lkn hapo sijaelewa hoja yako, unamaanisha watu waache kuajiliwa au wasifanye kazi kabisaaa yaani awe ni mtu wa kutumia tu,

Ikiwa utakuwa mtu wa kutumia tu jua unapitia changamoto nyingi kama, minyama uzembe, maradhi ya moyo, nk

Kama ili mtu aache kuajiliwa hapa kila mtu ana kiwango chake kutokana na maisha halisi au malengo yake. Mfano mm nikipata milion 20 ninaacha hii kazi kuna bishara ninakwenda kufungua
namaanisha unakuwa huwazi tena kuhusu hela, labda utakua na mishe ila hazihitaji nguvu kuendesha

yaani unakua huishi kwa ratiba
 
Back
Top Bottom