chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,500
Mtoa mada hujui tu lengo la lisu.Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
yaani wanaomkataa eti ndio mashahidi wake dah,
hii ni maajabu aise
Kumbuka hao walioitwa wakienda hawatoi maelezi mengi bali wanajibu maswali watakayoulizwa tu,mfano Lissu anaweza kumuuliza unafanya kazi gani,na majukumu yako kwenye kazi yako unayofanya ni ipi,mpaka hapo kama unahasira za haraka lazima jasho likutokeMsaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Hili ni tatizo 😅😅😅WaTanzania hatuna uelewa mkubwa wa vitu.
Ila tunapenda kuviongelea.
Wacha ujuaji maandazi basi..Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.
Sasa wewe Chawa kinachokuuma ni nini...????/ Kama ndio mashahidi watakao mmaliza si ndo mngetakiwa kufurahi... Unafikiri Lissu ni mjinga kuwaita hao kama mashahidi wake...?? Halfu Lissu alishasema hata akikaa gerezani miaka 20 yupo tayari... Sasa nini kinawauma na kuwawawsha..Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Anajua hawataenda na wakienda anajua pa kuwashikia .Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Ulofa usiuite ushujaa we bwegeIla Kuna watu ni wajinga sana, hivi unapomtishia mwenzio kifo unadhani wewe hautakuwa kwenye hilo fungu la kifo? Tena Bora mwenzio atakufa kifo Cha kishujaa ambacho kitabakia ktk historia Daima. Tufupishe tu hakuna mtu wa kumnyonga Lissu.
Sasa yeye ameamua hivyo ww inakuuma nini? Mbona mmekataa hawo wengine wasiende ili wamkandamize kama samia,waziri mkuumstaafu na mpango?Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Wamemwona Lissu ni lofa maana ht hajui anapigania nini. Mke na watoto wanakula maisha Ulaya mwenyewe anateseka eti anatafuta ukombozi, mnyaturu mpumbavu yule. Mbishi, mjuaji, mshamba asiyejua siasaShujaa ni yule anaefia vitani. endelea kufurahia mateso ya wengine.
Dunia huwa na tabia ya kuhukumu kwa wakati.
Hajui huyo chawa mwandamizi.Kama haujui kuwa hao mashahidi wataongozwa na Lissu kuhojiwa nyamaza.
Mnamwita shujaa kwa kumdhihaki?Sasa yeye ameamua hivyo ww inakuuma nini? Mbona mmekataa hawo wengine wasiende ili wamkandamize kama samia,waziri mkuumstaafu na mpango?
Huoni unajichanganya mwenyewe sasa?S
Wamemwona Lissu ni lofa maana ht hajui anapigania nini. Mke na watoto wanakula maisha Ulaya mwenyewe anateseka eti anatafuta ukombozi, mnyaturu mpumbavu yule. Mbishi, mjuaji, mshamba asiyejua siasa
Hahaa!! Mlifikiri anawaita waje kumtetea aje awaumbue? Mkuu wa polisi atapata shida sana atakavyoumbuliwa kuhusu matukio wanayofanya kama ni sahihi. Kazi yao kwa waandamanaji ni nini? Kazi yao ktk mikutano ni nini? Mambo ni mengi na hamtaamini. Lisu hawez kuita hao kwa ajili ya kumtetea yeye ni kwa ajili ya kuonesha madhaifu yaliyopo nchiniMsaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Sasa nikusaidie nini ili ufurahi moyo wako?Mnamwita shujaa kwa kumdhi
Mnamwita shujaa kwa kumdhihaki?