Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Braza stori ni ndefu sanaa.. sijui hata nianzie wapi!.Wew sindo tulikuw tunajadil kwenye uzi wa yule jamaa aliekuwa anatafuta afisa masoko?. Report ulikuwa unazichukua ktika regular days?
Commission si ngum kama unapiga kibunda. Kuna dalali hum wa viwanja anamiliki mpaka gari na vyeti kasahau.. udalali wake ni mbezi, mbweni, masaki huko... anaitwaga nan yuleKazi za comissiong ngumu sana
Asee pole sana mkuu ndo mapambano. Niliwah kufanya kazi ya kupigia sim na kufanya follow up kwa wateja. Ile kazi ukiwa na passion nayo si ngum ila sijajua opereshen ya ofis yako ikojeBraza stori ni ndefu sanaa.. sijui hata nianzie wapi!.
Hapo unakuta toka amekunywa chai asubuhi mpaka mida hiyo maybe saa 10 lakini hajapata hata mteja mmoja, hana nauli, anajiuliza hata nikifika home nakula nini.Asee 🤔
Tupia neno moja kwa kuangalia picha hii.. kuna mengi sana yamejificha hapo.
View attachment 3076551
Makampuni ya simu ni giant fimrs.. kuna meseji hapo " kwa kadri mfanyakaz anavyokzwa n hali ngum ya kazi au mshahara kidogo ndivyo hivyo kampuni inakuwa tajiri zaidi". So utajir na umaskin ni pande mbili za sarafu moja.. ili uwe tajiri lazima kuna watu wakandamizwe vya kutoshaNimejifunza kwamba Makampuni ya simu wawape commission nzuri ma-agent wanaosajili simu zao.
Although kijijin kuna hali mbaya sana kwa kazi nyingi zinzoweza walau kusukum maisha mjini. Kwa hali ya udongo huu hauhisi kama yuko tabora huyu?Hapo unakuta toka amekunywa chai asubuhi mpaka mida hiyo maybe saa 10 lakini hajapata hata mteja mmoja, hana nauli, anajiuliza hata nikifika home nakula nini.
Babylon system is a vampire - Bob MarleyMakampuni ya simu ni giant fimrs.. kuna meseji hapo " kwa kadri mfanyakaz anavyokzwa n hali ngum ya kazi au mshahara kidogo ndivyo hivyo kampuni inakuwa tajiri zaidi". So utajir na umaskin ni pande mbili za sarafu moja.. ili uwe tajiri lazima kuna watu wakandamizwe vya kutosha
Thanks for concern
Why tabora😁Although kijijin kuna hali mbaya sana kwa kazi nyingi zinzoweza walau kusukum maisha mjini. Kwa hali ya udongo huu hauhisi kama yuko tabora huyu?
May be we discuss about thatAsee pole sana mkuu ndo mapambano. Niliwah kufanya kazi ya kupigia sim na kufanya follow up kwa wateja. Ile kazi ukiwa na passion nayo si ngum ila sijajua opereshen ya ofis yako ikoje
Huyo ni mwanamke mkuu nimeficha so wake mana kasuka. Huoni hata hiyo suruali aliyovaa na mikato ya shep yakeBila Facial expression ni kumsingizia wakala, pengine alikua anavizia pisi anafuraha kama yote.
Issue ni sura Mkuu sio jinsia, au wanawake hawacheki?Huyo ni mwanamke mkuu nimeficha so wake mana kasuka. Huoni hata hiyo suruali aliyovaa na mikato ya shep yake
Vijijin n siriaz sana. Mjini ndo Kimbilio... Tabora sijawah kukaa lakin kila nikiingalia nataman kulia. Kama pale igunga stendi doh!Why tabora😁
Hiyo picha tunaweza ifanyia mzaha ila mtu aliewahi pitia life ngumu isiyo na tumaini, anaweza kuhisi maumivu aliyonayo huyo binti.
Sasa ucheke na mkono shavuni!? Unadhan kicheko hiko kitakuwa na maana gan?Issue ni sura Mkuu sio jinsia, au wanawake hawacheki?
HustleAsee 🤔
Tupia neno moja kwa kuangalia picha hii.. kuna mengi sana yamejificha hapo.
View attachment 3076551
Hiv zinakuaga na training hizi? Namna ya kuielezea bidhaa au kujenga maelezo yanayovutia kwa mtejaHii kazi at least wadada inawawaia vyedii, coz kuna virupurupu wanapata kutoka kwa wateja wa kiumee.
Ila hawa Kaka zangu, msotoo wanao sana tyuu na wanatamba nao.
Poleee zao. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Struggle and sufferingHustle
Sijawahi jua km ina trainings, ila naona watu wanazamiaga watakavyo tyuuh huko, LolHiv zinakuaga na training hizi? Namna ya kuielezea bidhaa au kujenga maelezo yanayovutia kwa mteja