Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

Et Baba wa nyumba...

Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.

Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa

Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..

👉
Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu

We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣

Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
Sasa haiwezekani Nini pengine mimi sikusoma na sitataka wanangu wapate elimu mbovu kama nilopata mimi😀😀 Kwani kupeleka mtoto international ni dhambi?
 
Mkuu! Jukumu la baba ni kuhakikisha familia yake inapata mahitaji muhimu chakula,mavazi na makazi.Lakini pia Kuna mahitaji ya ziada ambayo nikuwapatia elimu watoto,kuwalinda na kuwaongoza katika misingi imara na iliyo Bora.

Kuhusu baba kumsaidia mtoto hesabu hampi thamani kuwa yeye ndiye baba Bora,Bali baba Bora anapimwa Kwa kutimiza majukumu muhimu naya ziada Kwa familia yake.

Kipindi cha nyuma tulilelewa na wazazi ambayo ata hawakuwa na elimu(hawakusoma au walijua kusoma na kuandika tu).Lakini walikuwa wazazi Bora sana.

Sisi kipindi cha nyuma tulikuwa tunajisomea topic za mbele kupitia Kwa wakubwa wetu waliotutangulia madarasa na tulikuwa na Ile tabia ya kuazima vitabu kwa marafiki au ata shuleni(wengine walikuwa wakidiriki kuiba vitabu vya shule Ili wakajisomee). Kwasababu jukumu letu lilikuwa ni kusoma na wazazi ni kuhakikisha wanatuwezesha Ili tusome( ingawa hawakusoma/walikuwa na elimu ndogo).

Mimi uwa nafanya juu chini kuhakikisha Wana vitabu karibia vyote vya darasa usika,na kazi ya kufundishana ni ya kwao wenyewe mkubwa ana mfundisha mdogo au wasaidiwe na mwalimu wa ziada.

Sasa ninyi wa dadiii,mumy na junior uwenda ndiyo kipimo chenu hicho....Cha mzazi anapimwa Kwa kujua hesabu(jokes).
 
Et Baba wa nyumba...

Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.

Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa

Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..

👉
Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu

We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣

Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
Wewe ni mpuuzi sana. Baba yako akiweza kukusomesha International School hata kama yeye aliishia la saba la Kayumba, huyo ni baba bora kabisa na unapaswa kumheshimu sana.

Wapo watu wanatamani sana wangepata baba mwenye uwezo na skill ya kuwagharamia masomo yao wakasoma hata kama baba huyo hajui kusoma na kuandika.

Kuna Doctor mmoja (PhD) nilikutana naye, akanisimulia maisha yake, akasema, baba yake alikuwa hajui kusoma wala kuandika lakini alimsomesha na kugharamia elimu yake yote kuanzia elimu ya msingi mpaka chuo kikuu. Doctor huyo anakiri wazi kuwa kama zisingekuwa juhudi za baba yake yeye asingepata hiyo PhD aliyonayo leo.

Baba huyu hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini alipambana kumpa mwanae elimu.

Aisee, waheshimu wazazi hata kama hawajui kusoma.
 
Hao walimu huko shule nawalipa kwa kazi gani, inatakiwa wahakikishe mtoto wangu hashindwi kufanya hayo maswali mimi nipo busy kutafuta pesa za kuwalipa
 
Kuna wazazi ambao hawakusoma ila walifanya juu chini watoto wao wasome. Sijaona umuhimu wa hii mada
Watoto wenzake wanamwambia Binti yako..

Ngoja nikifika nyumban, namwambia Dadii anifundishe nielewe vizuri

Wee Dadii na litaulo lako vihesabu vidogo Hujui[emoji1787]
 
Halafu we jamaa ujue unazingua, kwa hiyo kuweza ku~solve hivyo vihesabu ndio ujione kichwa....nani alikwambia kuwa kila mtu lazima ajue hesabu, au hesabu ndio kipimo cha uelewa kwa binadam.....kimsingi hoja yako haina mashiko kabisa....lakini kwa kuwa ni mawazo yako binafsi mie ni nani hata niyakatae....unanikumbusha huko mashuleni watu walikuwa wanajiona kama mbingu ni zao kwa kusoma historia ya science kwa ujumla wake na ku~solve hizo hesabu....lakini sasa huku kwenye hesabu za maisha mambo yamekuwa ni tofauti sana yaani sana.
 
Back
Top Bottom