kapyoko
JF-Expert Member
- May 10, 2022
- 1,365
- 2,134
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu ungeliwasilisha kwanza kwenye kikao kabla ya kuliweka hapa,,,watakupopoa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu ungeliwasilisha kwanza kwenye kikao kabla ya kuliweka hapa,,,watakupopoa sana.
Tujifunze hesabuMkuu unataka kusemaje kwani??? [emoji848]
Sasa haiwezekani Nini pengine mimi sikusoma na sitataka wanangu wapate elimu mbovu kama nilopata mimi😀😀 Kwani kupeleka mtoto international ni dhambi?Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa
Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..
👉Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu
We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣
Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
Nazani ulicho-reply hakiendani na ID yako. [emoji848]Tujifunze hesabu
Wewe ni mpuuzi sana. Baba yako akiweza kukusomesha International School hata kama yeye aliishia la saba la Kayumba, huyo ni baba bora kabisa na unapaswa kumheshimu sana.Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa
Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..
👉Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu
We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣
Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
Kwanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nazani ulicho-reply hakiendani na ID yako. [emoji848]
[emoji23] nimejikuta nimewaza hivyo tu.Kwanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wenzake wanamwambia Binti yako..
Ngoja nikifika nyumban, namwambia Dadii anifundishe nielewe vizuri
Wee Dadii na litaulo lako vihesabu vidogo Hujui[emoji1787]