Kibongo bongo elimu hii haipo, ila mbele kuna vyuo vya kumwaga. Vyuo vingi vipo India na Marekani.Mkuu samahani hii elimu inasomewa wapi? Chuo Kipi? ama mnatumia material zipi katika kusoma. naomba unisaidie nimetafuta sana bila mafanikio
Bado hujathibitisha inakuwaje sayari ya Mercury inaathiri mikataba duniani.Kibongo bongo elimu hii haipo, ila mbele kuna vyuo vya kumwaga. Vyuo vingi vipo India na Marekani.
Itakuwa ya kwanza, kwa sababu hujawahi kuthibitisha hapo awali.Nikithibitisha hii itakua ni mara ya ngapi?
Nenda kasome comment namba 58.Itakuwa ya kwanza, kwa sababu hujawahi kuthibitisha hapo awali.
Kuandika "Mercury inaathiri mikataba duniani" si kuthibitisha.
Kama mimi kudai kwamba mimi ni bilionea Bill Gates kusivyo kuthibitisha mimi ni bilionea huyo.
Thibitisha.
Nenda kasome comment namba 58.
Mercury ni ruler wa mambo yote yanayohusu mawasiliano,.
sasa inapokua ina transit retrograde ina express its energy inwardly more than outwardly..
Ni kama ina pause for some time..
Sasa na mambo yote yanayohusu mercury ikiwemo mikataba nayo yanakua katika sluggish state..
That's why tunashauriwa na sisi tuachane na mambo yanayohusu mercury at all ikiwemo mikataba..
Usipoelewa na hapo ntaanza kupata mashaka na wewe.
Sasa hapo nushakuelewa nini unataka.Umeandika hivi
Ni ruler kwa minajili gani? Unajuaje hilo? Umepata vipi hizo habari?Unaweza kuthibitisha hilo? Unajuaje kwamba hizo habari ni za kweli na si za uzushi wa kale tu?
Ina express energy gani? Kwa nini inwardly na si outwardly? N akamaina express energy inwardly ita athiri vipi vitu vya nje yake?
Iki pause inaathiri vipi mikataba ya duniani?
Kuna uhusianogani wa Mercury ku pause na mikataba kuwa sluggish? Kinachounganisha hivyo viwili ni nini na kwa nini hili lisiwe uzushi wa kale tu?
Mtu anaposema mwezi unasababisha maji ya bahari kupwa , anaweza kuonesha yanafanya hivyo kwa msukumo wa gravity.
Wewe nguvu gani za sayari ya Mercury zinafanya mikataba iwe sluggish?
Hujathibitisha kitu, umelazimisha jambo.
Hapa kuna kipi cha kuelewa wakati umelazimisha jambo bilakulielezea?
Kipi kinachosababisha mwendo wa Mercury uathiri mikataba duniani?
Hujajibu swali hili.
Sijaelewa mkuu nielewesheMercury ni zaidi ya satellite zilizowekwa na hao watu. Ntarudi
Kwenye unajimu mercury ndio planets inayosimamia masuala yote yanayohusu communication.Mercury ni zaidi ya satellite zilizowekwa na hao watu. Ntarudi
Duh inawezekana amemaster kweliSema umemaster notes za geography
Hauwezi ukamaster geography kizembe
Mkuu mimi siamini kama kuna jibu lisilokua na utata halafu lisieleweke, binafsi naona unashindwa kujibu maswali vizuri na hii imepelekea wewe kutafuta vichaka vyako vya kujifichia;Kwenye unajimu mercury ndio planets inayosimamia masuala yote yanayohusu communication.
Tabu ninayopata kuwaelewesha nyinyi ni moja, mnauliza mambo ambayo kiukweli mkitaka niwajibu kwa ufupi hamtakaa mkaelewa.
Kwa mfano hapa nilitaka kueleza concept ya soul symbol. Hii ndio ingejibu swali lako completely.
Sasa ntakapoanza kueleza ndio ntazidi kukuchanganya. Yaani ni sawa na mwanafunzi wa form one kaingia darasa la form 6. Kila atakachoambiwa ataona kipya.
Yaani maswali yanatakiwa kujibiwa kwa ufupi, usipoelewa summary basi itabidi uanzie chini kabisa ndio utaelewa ntakachosema.
Kwa hiyo ndugu unataka topic nilioisoma kwa miezi kadhaa nikueleweshe ndani ya usiku mmoja.??Mkuu mimi siamini kama kuna jibu lisilokua na utata halafu lisieleweke, binafsi naona unashindwa kujibu maswali vizuri na hii imepelekea wewe kutafuta vichaka vyako vya kujifichia;
1. Haya mambo ni magumu nikiwaeleza kwa kifupi hamtaelewa.
2. Jiunge na group langu la whatsapp ile upate darasa na materials mengine.
3.Hamna uelewa wa unajimu kwahiyo hakuna mnachokijua.
Acha kujificha kwenye hivi vichaka, toa majibu ambayo yanaeleweka vizuri ili tuone kama kweli hizi nondo zako nizakuaminika, then tutakuja huko whatsapp.
Unakoelekea utakua kigagula mkuuKuna vitu hamvielewi, siwezi kuwalaumu.
Hujathibitisha.Sasa hapo nushakuelewa nini unataka.
Inataka niandike in details, sawa hiyo inawezekana na hakuna hata ambacho hatujasoma hapo.
Lakini kwa namna unavyotaka wewe hivyo basi niandike page zaidi ya 20 kuthibitisha kwa sababu kuna vitu vingine ambavyo sikuviandika hapa na ambavyo ni lazima uvijue. Huko ndio ntaeleza kwa nini Mercury amekua messenger of the sky na sio Venus au Mars. Ipo sababu ambayo itanibidi niandike makala ndefu zaidi.
Option nyingine ni wewe kuamua kujifunza kwa kiwango fulani kinachoridhisha, hata kama nikiweka makala na wepesi kunielewa.
Kwa sababu kwenye hili bandiko mimi nimegeneralize, na sitaweza kwenda deep kwa kiasi unachotaka coz itabidi nikuanzie mwanzo kabisa, ambapo utajua kwa nini mercury anafanya kazi hizo.
Kwa sababu hii Retrograde ni topic kabisa inayojitegemea. Na mimi nilichofanya kama kuchota portion yake na kuiweka.
Lakini ni mkweli nikiandika kwa machache hivi hutakaa ukaelewa hata siku moja. Inabidi upewe hata kitabu kizima ukae peke yako ujisomee. Ama kama ntaweza kukipandisha hapa ntakiweka.
Nimemuuliza kitu straightforward.Mkuu mimi siamini kama kuna jibu lisilokua na utata halafu lisieleweke, binafsi naona unashindwa kujibu maswali vizuri na hii imepelekea wewe kutafuta vichaka vyako vya kujifichia;
1. Haya mambo ni magumu nikiwaeleza kwa kifupi hamtaelewa.
2. Jiunge na group langu la whatsapp ile upate darasa na materials mengine.
3.Hamna uelewa wa unajimu kwahiyo hakuna mnachokijua.
Acha kujificha kwenye hivi vichaka, toa majibu ambayo yanaeleweka vizuri ili tuone kama kweli hizi nondo zako nizakuaminika, then tutakuja huko whatsapp.
Kwa hiyo ndugu unataka topic nilioisoma kwa miezi kadhaa nikueleweshe ndani ya usiku mmoja.??
Ili nieleweke inabidi nikate topic nzima hapa. Na kufanya hivyo ntakua siwatendei haki wale wanaolipa pesa zao kule kwenye WhatsApp group.
Kama kutoa Elimu bure nishafanya zaidi ya miezi miwili. Kwa hapa Jamii Forum ntaishia kuweka short summary kama hizi, sitaweka topic nzima hata siku moja.
Ni bora mkaniona sijui lolote, ila walio kwenye WhatsApp group wanajua mpaka sasa tunaelekea wapi...
La nyongeza_ je una Dini.?