Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Kumbe kuna wigi orijino?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio Mkuu 😂😂 kuna Original na fake. Yaani wigi Original ni nywele halisi za binadamu naskia kuna baadhi ya wahindi huwa wanafanya hio Biashara wanafuga nywele then wanazikata nywele zao na kuziuza kwa makampuni ya nywele, huko zinafangwa wigi na weaving kisha kuuzwa bei ghali zaidi kwa wavaagi.
 
Ha ha ha ha ha ha!!
We wanijua vizuri kabisaaa! Hayo mandude sivaiii...

Ila naona kutwaaa wanasifiwa haoo wanaovaa mkija huku mwawasema !!
Basi wapotezee tu hao Mama maana wakati mwingine ni vichwa vyao vya chini ndivyo huwachanganya kitamaa lkn si kiupendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau miongoni mwa hayo orijino pia yapo yaliyochanganyika na za marehemu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…