Wanawake ni watu wa urembo...mwanamke anaweza kubadili gauni kisa chupi ndani haiendani nalo.Pambana na hali yako kuamua kumzuia Mkeo au kumuacha lkn usitake kutulazimisha Watu tupende hao chempazee wa Udzungwa[emoji19][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie waambie!Mimi pia nachukia kuvaa wigi kwanza linachosha halafu na joto hili la dar nahisi linanifanya naonekana kituko
Wanawake wakiwa natural au wakisuka nywele ambazo zinaonyesha uhalisia wao huwa wanapendeza sana sijui nani kawaloga na mawigi, mara kucha za chui, mara kope uuwi hivi vitu vilinipita mbali hata siku ya harusi yangu sikuweka kucha wala kope bandia na sitakaa niweke aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anisamehe sana kiukweli nawachukia hata kama hawajanikosea lkn huwa nawaonea huruma kwa kutojitambu maana Wanaume wengine huwadanganya ili wawatumie kistarehe wala si kimaisha.Hongera sana Mkuu. Juhudi zako zikoje hasa kwa wale wa karibu yako ambao bila wigi hawawezi toka hata nje?
Mimi pia nachukia kuvaa wigi kwanza linachosha halafu na joto hili la dar nahisi linanifanya naonekana kituko
Wanawake wakiwa natural au wakisuka nywele ambazo zinaonyesha uhalisia wao huwa wanapendeza sana sijui nani kawaloga na mawigi, mara kucha za chui, mara kope uuwi hivi vitu vilinipita mbali hata siku ya harusi yangu sikuweka kucha wala kope bandia na sitakaa niweke aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nifafanue mwanamke mpenda wigi MDA wote Ni sawa na mchepuko na mwanamke natural hair ni sawa na mke..Ila chakushangaza ukivaa wigi utasifiwa sana umependeza.....Tanzania.
Mwanamke wa namna hiyo museum inamfaa.Siyo kujiremba bali ni kutojiamini.
Nywele feki,
Kope feki,
Ngozi feki,
Lips feki,
Matiti/maziwa feki,
Ma**ko feki,
Hipsi feki,
Kucha feki, ss hapo una Mwanamke au mdoli [emoji848][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss hapo kwenye lipstick si ndipo ushapigwa tena, mdomo ulishaungua siku nyingi tu ameficha ukweli, pili hizo kucha anajichambaje chooni?Hivyo vya matako sawa na matiti sawa.
Ila hata foundation! Hata kupaka poda! Lipsticks...kope nazo hamtaki wanawake wajirembe wakuu! Waacheni .
Kumbe unaweweseka na urembo badala ya uzuri wa asili? Pole sana Kaka, mi uzuri + tabia kwangu ni kipaumbele no. 1 kuliko chochote kwa Mwanamke.Wanawake ni watu wa urembo...mwanamke anaweza kubadili gauni kisa chupi ndani haiendani nalo.
Mnataka wawe kama sisi? Wajirembe mawigi acha wavae kizuri tu yawe yanawapendeza.
Wigi kunuka ni uchafu wa mtuLabda nifafanue mwanamke mpenda wigi MDA wote Ni sawa na mchepuko na mwanamke natural hair ni sawa na mke..
Yaan tunapenda kusifia lakini likija swala la taste au radha hasa ya mwanamke ambaye unaweza hata ukajivunia mbele za watu basi nywele ya asili Ni habari Nyingine kabisa huwezi compare na mawigi kunuka hayo kabisaaaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.Ss hapo kwenye lipstick si ndipo ushapigwa tena, mdomo ulishaungua siku nyingi tu ameficha ukweli, pili hizo kucha anajichambaje chooni?
Huo ni uchafu mtupu kaka, acha kuendeshwa na tamaa za nnje jitambue Chifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasahau kwamba mtu hawezi akajiremba kwa uzuri wa kuazima.Ss hapo kwenye lipstick si ndipo ushapigwa tena, mdomo ulishaungua siku nyingi tu ameficha ukweli, pili hizo kucha anajichambaje chooni?
Huo ni uchafu mtupu kaka, acha kuendeshwa na tamaa za nnje jitambue Chifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wa namna hiyo museum inamfaa.
Ni nani asiyejiremba hapa duniani? Wewe mwenyewe unachonga nywele na kuvaa mavazi unayodhani yanakuvutia ili tu upendeze.Kumbe unaweweseka na urembo badala ya uzuri wa asili? Pole sana Kaka, mi uzuri + tabia kwangu ni kipaumbele no. 1 kuliko chochote kwa Mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpole...acheni watu wapendeze.Anasahau kwamba mtu hawezi akajiremba kwa uzuri wa kuazima.
Halagu hayo madude ya kuongeza yanawazeesha jamani..unavaa wigi unaonekana mzee maskini kumbe bado mbichi kabisa au hizo makeup zinazeesha ngoziiii...unajua kupaka mara moja moja sio mbaya kwenye special occasion .lakini kuna yule.anapaka 24/7 mpaka ngozi imekua kama sijui kitu gani...wanatia kinyaa jamaniWaambie waambie!
Yaani jinsi wanawake wanavyo ji' pimp kwa ghafla tu akachukuliwa akapelekwa mwituni nakwambia hata simba hamli. Atabaki anamshangaa tu huyu ni kiumbe wa wapi. Si ajabu simba akatoka nduki vilevile.
ExactlyWigi linaficha vitu vingi sana kwa wanawake.
Mojawapo ni kipimo cha afya.
Na yanazeesha balaaMimi pia linaniletea sana joto.weaving nalo linanikata nywele[emoji57][emoji57]
Hivyo vya matako sawa na matiti sawa.
Ila hata foundation! Hata kupaka poda! Lipsticks...kope nazo hamtaki wanawake wajirembe wakuu! Waacheni .