Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Pambana na hali yako kuamua kumzuia Mkeo au kumuacha lkn usitake kutulazimisha Watu tupende hao chempazee wa Udzungwa[emoji19][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni watu wa urembo...mwanamke anaweza kubadili gauni kisa chupi ndani haiendani nalo.

Mnataka wawe kama sisi? Wajirembe mawigi acha wavae kizuri tu yawe yanawapendeza.
 
Mimi pia nachukia kuvaa wigi kwanza linachosha halafu na joto hili la dar nahisi linanifanya naonekana kituko

Wanawake wakiwa natural au wakisuka nywele ambazo zinaonyesha uhalisia wao huwa wanapendeza sana sijui nani kawaloga na mawigi, mara kucha za chui, mara kope uuwi hivi vitu vilinipita mbali hata siku ya harusi yangu sikuweka kucha wala kope bandia na sitakaa niweke aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie waambie!

Yaani jinsi wanawake wanavyo ji' pimp kwa ghafla tu akachukuliwa akapelekwa mwituni nakwambia hata simba hamli. Atabaki anamshangaa tu huyu ni kiumbe wa wapi. Si ajabu simba akatoka nduki vilevile.
 
Mimi pia linaniletea sana joto.weaving nalo linanikata nywele😏😏
 
Ila chakushangaza ukivaa wigi utasifiwa sana umependeza.....Tanzania.
Labda nifafanue mwanamke mpenda wigi MDA wote Ni sawa na mchepuko na mwanamke natural hair ni sawa na mke..

Yaan tunapenda kusifia lakini likija swala la taste au radha hasa ya mwanamke ambaye unaweza hata ukajivunia mbele za watu basi nywele ya asili Ni habari Nyingine kabisa huwezi compare na mawigi kunuka hayo kabisaaaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vya matako sawa na matiti sawa.

Ila hata foundation! Hata kupaka poda! Lipsticks...kope nazo hamtaki wanawake wajirembe wakuu! Waacheni .
Ss hapo kwenye lipstick si ndipo ushapigwa tena, mdomo ulishaungua siku nyingi tu ameficha ukweli, pili hizo kucha anajichambaje chooni?

Huo ni uchafu mtupu kaka, acha kuendeshwa na tamaa za nnje jitambue Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni watu wa urembo...mwanamke anaweza kubadili gauni kisa chupi ndani haiendani nalo.

Mnataka wawe kama sisi? Wajirembe mawigi acha wavae kizuri tu yawe yanawapendeza.
Kumbe unaweweseka na urembo badala ya uzuri wa asili? Pole sana Kaka, mi uzuri + tabia kwangu ni kipaumbele no. 1 kuliko chochote kwa Mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nifafanue mwanamke mpenda wigi MDA wote Ni sawa na mchepuko na mwanamke natural hair ni sawa na mke..

Yaan tunapenda kusifia lakini likija swala la taste au radha hasa ya mwanamke ambaye unaweza hata ukajivunia mbele za watu basi nywele ya asili Ni habari Nyingine kabisa huwezi compare na mawigi kunuka hayo kabisaaaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wigi kunuka ni uchafu wa mtu
 
Ss hapo kwenye lipstick si ndipo ushapigwa tena, mdomo ulishaungua siku nyingi tu ameficha ukweli, pili hizo kucha anajichambaje chooni?

Huo ni uchafu mtupu kaka, acha kuendeshwa na tamaa za nnje jitambue Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.

Mzee baba.... wewe unataka wanawake wawe unavyotaka?

Mwanamke akijiremba anavutia...kama hautaki wanaojiremba si ichukue asiyejiremba?
 
Kumbe unaweweseka na urembo badala ya uzuri wa asili? Pole sana Kaka, mi uzuri + tabia kwangu ni kipaumbele no. 1 kuliko chochote kwa Mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani asiyejiremba hapa duniani? Wewe mwenyewe unachonga nywele na kuvaa mavazi unayodhani yanakuvutia ili tu upendeze.

Wenzio wakienda mbali kwa kuvaa wig unaona nongwa?
 
Waambie waambie!

Yaani jinsi wanawake wanavyo ji' pimp kwa ghafla tu akachukuliwa akapelekwa mwituni nakwambia hata simba hamli. Atabaki anamshangaa tu huyu ni kiumbe wa wapi. Si ajabu simba akatoka nduki vilevile.
Halagu hayo madude ya kuongeza yanawazeesha jamani..unavaa wigi unaonekana mzee maskini kumbe bado mbichi kabisa au hizo makeup zinazeesha ngoziiii...unajua kupaka mara moja moja sio mbaya kwenye special occasion .lakini kuna yule.anapaka 24/7 mpaka ngozi imekua kama sijui kitu gani...wanatia kinyaa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vya matako sawa na matiti sawa.

Ila hata foundation! Hata kupaka poda! Lipsticks...kope nazo hamtaki wanawake wajirembe wakuu! Waacheni .

Mimi ambacho sipenď binafsi kbs kope za bandia..kucha zle ndef nazo sipend..nabandika lakini inakatwa inakuwa km yako tu..napo nafanya mara moja moja..

Ila kope nitabandika sku 1 am sure zitapendeza...jaman mambo mengine mtuache tufanyajge tu...we only liv once
 
Back
Top Bottom