Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Upo sahihi mkuu, hata hivyo binadam tumetofautiana kimtazamo, mwingine anataka mwanamke mwembamba au mwanamke mfupi, Sasa inapotokea umechukua kitu alafu baadae mambo yakaja kuchange, timbwili ndo huazia hapo.
 
Upo sahihi mkuu, hata hivyo binadam tumetofautiana kimtazamo, mwingine anataka mwanamke mwembamba au mwanamke mfupi, Sasa inapotokea umechukua kitu alafu baadae mambo yakaja kuchange, timbwili ndo huazia hapo.
Inawezekana. Na to declare the interest, mimi napenda "minyama, yan unabonya bonya kama embe au parachichi".😋😋😋
 
Tulia mkuu. Hilo linazungumzika na linaweza fanyiwa mabadiriko. Yote yafanyike Kwa upendo na omba maokoto yawepo mezani ya kumpendezesha.
Usifanye kosa la kumpiga stress wife atakua kituko zaidi ya hivyo unavyoona now.

Lakini kumbuka, kigezo cha kuwa wife sio mwonekano tu. Kama ni mama bora na anakusaidia kumalizia siku zako za kuishi dunia hii bila stress sana, please usimpuuze.

Kama umepagawa na pigo za mabinti ... unaruhusiwa kuchepuka kuushibisha moyo wako tamaa za macho, ila ukae ujue uzuri ni ubatili na dhambi ni mzigo.

Usimpe shetani nafasi atakuchqkaza
 
.huku bongo Mitukunyema yenye miswambwanda ETI ndo wanakimbiza Soko kiasi kwamba wanawake hawapati usingizi wanawaza kuongeza shape..

😄😄😄 Dahh, inaonekana wanawake wa design hiyo, hupendi kabisa.

kwetu..Akishajifungua ndo kabisaa anajiona kashazeeka anaanza kujifunika na mavitenge na nguo za kushona.
 
Hapo ulipigwa changa la macho

Mwanamke alikwambia ana miaka 30....
Ili kupata umri wake halisi Chukua 30 zidisha mara 3 gawia 2 utapata miaka 45.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…