Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Karidhka uyoo me wangu alipo pata mimba ali nenepa sanaa afu me sio mpenzi wa woman wanene au wenye matako makubwa saaana ..

nka subiri ajifungue naona still mtu karidhika na ana jua vitu napenda .kilicho fata ni kupiga matukio kama mawili hadi saiv karudi kama mwanzo ki portable
 
Wazee wa zamani wakati wanaoa mabinti wakiwa wamepishana gap kubwa si hua mnawashangaa?

Oa mwanamke muache miaka 10,Wanazeeka mapema sana hawa

Ukiongozana nae watu wanaona ni Dada yako 😀😀
 
Wewe ndio unamlisha au anakula pekeake? Kama unamlisha ataachaje kunenepa na kujisahau maan a amekua mtoto tayari....na kingine huyo kasharidhika hahitaji kujitutumua kufurahisha wanaume nje.....sasa wewe jitie kichwa ngumu umfungue tena macho utakuja na uzi wa nifanyeje mkewangu anataka kunipanda kichwani
 
Jamaa kaliongelea vyema hilo, kila kitu anampatia. Unataka amvishe mwili wake?
 
Kaa chini ongea naye,mwelimishe...mfundishe kufanya control ya mwili wake hasa vyakula,mnunulie mavazi lkn pia mikanda ya kubana tumbo,baada ya muda atakaa sawa.
 
Mliapa kwenye shida na raha. Ndo shida zenyewe hizo mkuu

Urembo na uzuri wa mwanamke hupungua kadiri umri unavyosonga
😀😀, kuwa na mke mdogo ni muhimu sana,
Inawezekana. Na to declare the interest, mimi napenda "minyama, yan unabonya bonya kama embe au parachichi".😋😋😋
Hutaki kulala kwenye tiles 😄😄
 



Kama umepagawa na pigo za mabinti ... unaruhusiwa kuchepuka kuupa moyo wako tamaa zako ila ujue uzuri ni u atili na dhambi ni mzigo.

• Pigo za mabinti wa Sasa ni hatari sana, hasa watoto wa 2000s, Unaweza jilaumu kwa nini ulioa mapema 😎.

• Shukran sana mkuu, umetoa point kubwa sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…