Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka siku nikidakwa na vyombo vya ulinzi na usalama familia yangu iteseke?Kwa hiyo wewe ni mjinga maana hujaoa hadi sasa hivi na umri umeenda
Yah..ukiona mwanamke ameacha kujipenda ghafla ujue kuna sababuYaweza kuwa mkuu, stress ni mbaya sana,
We unaweza kuishi pekee yakoUmeona eee na wanajitahidi kutukana wanawake balaa ila kuishi peke yao hawawezi
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Ila watu mnamajibuUngechelewa kidogo tu ningeandika kataaa ndoa [emoji1][emoji1][emoji1]
Sema labda ni mnene afu mfupi dadeq akifikisha 40 atakua bi mkoloni
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Ila watu mnamajibu
Wazee wa zamani wakati wanaoa mabinti wakiwa wamepishana gap kubwa si hua mnawashangaa?Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝,
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.
• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.
• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.
• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.
• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mlio oa, mnahisi hivi pia kama ninavyo hisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.
........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." 😎.
Mababu walikua wanaoa wanawake kampiga gap kuanzia 10 mpk 20Mababu zetu hawakua wajinga kuoa wawili plus
[emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka ile story.Yupo kama shishi?
Wewe ndio unamlisha au anakula pekeake? Kama unamlisha ataachaje kunenepa na kujisahau maan a amekua mtoto tayari....na kingine huyo kasharidhika hahitaji kujitutumua kufurahisha wanaume nje.....sasa wewe jitie kichwa ngumu umfungue tena macho utakuja na uzi wa nifanyeje mkewangu anataka kunipanda kichwaniHabari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale [emoji1666],
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.
• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.
• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.
• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.
• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mlio oa, mnahisi hivi pia kama ninavyo hisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.
........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." [emoji41].
Jamaa kaliongelea vyema hilo, kila kitu anampatia. Unataka amvishe mwili wake?Tunzeni wake zenu wapendeze,ushamlaza kifua kimekuwa kama ndala za gesti halafu unasema kazeeka .
Mwanamke akishazaa basi mwili unafumuka kwa kasi na kadri anavyoendelea ,kama ni mnene angalia avae zile nguo ndefu jamii ya abaya na sio za mtumba ,tafuta angalau za bei mbaya zinapendeza kwa wanawake angalau 150k .
Manukato safi hata afike 50 utamuona kawaida ila kama humtunzi na hali za umaskini lazima awe kikongwe.
😀😀, kuwa na mke mdogo ni muhimu sana,Mliapa kwenye shida na raha. Ndo shida zenyewe hizo mkuu
Urembo na uzuri wa mwanamke hupungua kadiri umri unavyosonga
Hutaki kulala kwenye tiles 😄😄Inawezekana. Na to declare the interest, mimi napenda "minyama, yan unabonya bonya kama embe au parachichi".😋😋😋
Tulia mkuu. Hilo linazungumzika na linaweza fanyiwa mabadiriko. Yote yafanyike Kwa upendo na omba maokoto mezani ya kumpendezesha yanakuwapo mezani.
Usifanye kosa la kupiga stress wife atakua kituko zaidi ya hivyo unavyoona now.
Lakini kumbuka, kigezo Cha wife sio mwonekano tu. Kama ni mama Bora na anakusaidia kumaliza siku zako za kuishi duniani bila stress sana please usimpuuze.
Kama umepagawa na pigo za mabinti ... unaruhusiwa kuchepuka kuupa moyo wako tamaa zako ila ujue uzuri ni u atili na dhambi ni mzigo.
Usimpe shetani nafasi atakuchqkaza
Kama umepagawa na pigo za mabinti ... unaruhusiwa kuchepuka kuupa moyo wako tamaa zako ila ujue uzuri ni u atili na dhambi ni mzigo.