Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

Kuna manzi nilikuwa namtunuku vishilingi. Siku moja nilipiga simu yake akawa hapokei,sometimes anaongea na mtu mwingine. Siku nzima hakupokea. Siku 3 zikapita hivyo hivyo hakupokea . Akili yangu ikanituma ni ijumaa hadi jumapili atakuwa yuko na mtu weekend asingeweza kupokea. Ila nilijua jumatatu ataanza kunitafuta. Ikawa hivyo. Hadi leo anapiga simu. Sipokei wala sijibu,miezi mitatu Sasa
 
Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
mim naacha nayo akiona mised call atanitafuta akiuchuna nami nakula buyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…