Kuna manzi nilikuwa namtunuku vishilingi. Siku moja nilipiga simu yake akawa hapokei,sometimes anaongea na mtu mwingine. Siku nzima hakupokea. Siku 3 zikapita hivyo hivyo hakupokea . Akili yangu ikanituma ni ijumaa hadi jumapili atakuwa yuko na mtu weekend asingeweza kupokea. Ila nilijua jumatatu ataanza kunitafuta. Ikawa hivyo. Hadi leo anapiga simu. Sipokei wala sijibu,miezi mitatu Sasa