Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

Aisee, nimeyaona leo mida ya saa moja usiku yanajazwa mafuta pale kwenye sheli ya PUMA karibu na RITA. Kiukweli nimefadhaika sana. Nina wasiwasi hata mafuta hawajalipia wamewekewa bure.

Binadamu wasio na akili hufanya lolote ili wawe na maisha mazuri duniani hata kwa kumwaga damu za watu wengine.
Ndio kituo chao hiko tangu zamani huwa naona gari nyingi sana za polisi kituo hicho sijui huwa wanalipa kwa bill au wanaweka bure tu.
 
We bwege acha kihoro isipokuwa km we ni mhalifu. Raia mwema ataogopaje vyombo vya ulinzi? Au una mpango wa kufanya uhalifu?
Raia anaelalamika kwamba kulikuwa na udanganyifu katika uchaguzi mkuu na kudai haki itendeke kwa maandamano ya amani ni mhalifu? Nimekuuliza, umeona lini Polisi wakitumia hayo madudu kukabiliana na panya road? Huyu muandamanaji wa amani ni mhalifu kuliko panya road?

Tatizo watu kama nyie mnaofaidika na wahalifu wa serikali hii mnatetea uovu wao hata wafanye nini. Siku nchi hii ikipinduliwa tuawatafuta wote tuwapige risasi hadharani
 
Back
Top Bottom