kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Ndio kituo chao hiko tangu zamani huwa naona gari nyingi sana za polisi kituo hicho sijui huwa wanalipa kwa bill au wanaweka bure tu.Aisee, nimeyaona leo mida ya saa moja usiku yanajazwa mafuta pale kwenye sheli ya PUMA karibu na RITA. Kiukweli nimefadhaika sana. Nina wasiwasi hata mafuta hawajalipia wamewekewa bure.
Binadamu wasio na akili hufanya lolote ili wawe na maisha mazuri duniani hata kwa kumwaga damu za watu wengine.