Wakati si huyo mama marehemu mbalimbali hata wanaume wengi wanashida sana, na ndiyo maana wanawake wengi wanachepuka na kuketa watoto ndani, wanaume wengi hujifanya hawana tatizo kumbe wao ndiyo shida, ila kwasababu mwanamke ndiye mbeba mimba anaangushiwa jumba bovuWewe uliyenae ulimkuta bikra mkuu?.. au Ni Mama WA marehemu mbalimbali[emoji23][emoji23][emoji23]
Faida ya Kwanza ya single Maza anakupa assurance kwamba anaweza kuzaa.. sio Hao wenu unaweka ndani alafu unanza kuzunguka Kwa Mwamposa kutafuta mtoto..[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wadada zenu wanaozalishwa huko ndiyo mnalea!Msaada wa kulea watoto wa mwanamume mwenzangu sitathubutu
Nilijua tu kuna baba mmoja wa kambo atatuma hii mesejiUnahakika hao ambao hawana watoto hawajatombeka wala kushika mimba?
Ndio nitalea kama uncle ni damu yetu siwezi kuitupa, lakini sio toto la mtu mwingine sina hata uhusiano wa damu nilileeIla wadada zenu wanaozalishwa huko ndiyo mnalea!
Ndio mnavyojifariji baba wa kufikiaWewe unajuaje kama hao ulionao kwa mkeo ni mabao ya mwanaume mwenzako?
Sio kwa single maza mkuuSio kweli, mwanamke nimwanamke tu. Tabia haichagui
Sijawahi kuwa baba wa Kambo labda niwe babako wa KamboNilijua tu kuna baba mmoja wa kambo atatuma hii meseji
Sasa sifa ya mwanaume Ni ipii.. ukija kwenye biblia Yusuf alilea mtoto sio wake Yule... Au umesahau mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]🦥🦥🦥Kuoa single maza ni kujishusha thamani sana kwa mwanamume. Yaani unaanza maisha ya ndoa kwa kulea mtoto asiye wako. Hivi hiyo ni akili au matope?
Mimi single Maza wangu alitaka kunikabidhi mpaka mtoto awe na majina yangu..[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati si huyo mama marehemu mbalimbali hata wanaume wengi wanashida sana, na ndiyo maana wanawake wengi wanachepuka na kuketa watoto ndani, wanaume wengi hujifanya hawana tatizo kumbe wao ndiyo shida, ila kwasababu mwanamke ndiye mbeba mimba anaangushiwa jumba bovu
Kwahio amfanyaje?unauhakikia ww utaishi milele utalea wanao?Kwa hiyo unalea bao la mwanamume mwenzako?
Yusufu mwenyewe alikuwa ameshamkataa Maria na alipanga amlime talaka kimyakimya.Sasa sifa ya mwanaume Ni ipii.. ukija kwenye biblia Yusuf alilea mtoto sio wake Yule... Au umesahau mkuu
Sitaishi milele lakini hiyo siyo justification ya kuoa single mazaKwahio amfanyaje?unauhakikia ww utaishi milele utalea wanao?
Nimekutafakar unavyocheka huyo anaelea mtoto wa mwenzie ambaye n marehem,je ikitokea umetangulia mbele za haki(samahan lakin).Wanao wanao wasilelewe na mwanaume mwingine kisa sio mabao yaoSitaishi milele lakini hiyo siyo justification ya kuoa single maza
Sasa sifa ya mwanaume Ni ipii.. ukija kwenye biblia Yusuf alilea mtoto sio wake Yule... Au umesahau mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]🦥🦥🦥
Mtoto Ni Baraka.. kimsingi ujue namna ya kumsimamia Mama yake tu
Kwa Mimi nilie soma chuo yupo mwanamke alitoa Mimba zangu kunajamaa amemuoa huyo na Mimi ndo nilimtoa bikra[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa swali Ni Bora kumuoa Mama WA marehemu au kumuoa single Maza ambae umejiridhisha Sababu ya kutokuwa na mzazi mwenyenzie hazitakuwa na madhara kwenye mahusiano yenu.. na wewe akuzalie vilevile
Kimsingi hata wazee wetu wamewalea ninyi ambao Leo Ni wazee hawakuwambia tuu.. na wala hawa kusema wakapime DNA [emoji3459]n.k..
Vijana tuache uoga.. mwanamke akikupenda anaweza fanya lolote ndo maana single Maza wengi wameliwa tigo..[emoji23][emoji23][emoji23] wakikutana na watu kama nyie kwenye harakati za Ku prove upendo huwa hamuwaachi Salama..
Yusufu mwenyewe alikuwa ameshamkataa Maria na alipanga amlime talaka kimyakimya.
Ila malaika akaingilia kati akamwambia ni mpango wa Mungu ndiyo Yusufu kukubali
sio mjinga mkuu bali ni mpumbavuMwanamume anayeoa single maza ni mjinga sana