Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nikishakufa aliyekuwa mke wangu hayuko chini ya mamlaka yangu tena akiamua kuolewa na mwanamume mwingine hilo ni juu yakeNimekutafakar unavyocheka huyo anaelea mtoto wa mwenzie ambaye n marehem,je ikitokea umetangulia mbele za haki(samahan lakin).Wanao wanao wasilelewe na mwanaume mwingine kisa sio mabao yao
NAKAZIAsio mjinga mkuu bali ni mpumbavu
Ndio nataka kujua hao watotot wako walelewe au watelekezwe na mwanaume mwenzio kisa sio bao lake?.Nikishakufa aliyekuwa mke wangu hayuko chini ya mamlaka yangu tena akiamua kuolewa na mwanamume mwingine hilo ni juu yake
Vyovyote vile kwa sababu wakati huo mwamuzi wa mwisho atakuwa mama ya watotoNdio nataka kujua hao watotot wako walelewe au watelekezwe na mwanaume mwenzio kisa bao lake?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hua najaribu sana kukwepa kuandika maneno yanayoumiza hisia za hao masingle maza lkn saa zingine tunaflow tu!
Vijana wengi hizi harakati za pimbi dhidi ya singo mazaz mnafanya humu tu lakn kwa ground mnawaoa sana, miongoni mwa marafiki zangu naefanya nae kazi pamoja & tunaishi majirani na pro kitimoto mwenzangu January hii kaweka single mama ndani.....ni mzur kinoma yaan kwa uzur tu jamaa kapata kitu red carpet material [emoji16]sema sio wife material
Mbn wacheka sheikh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe acha ujinga huyo single mother uliye nae anakudanganya!!Banae nimetoka kupokea muamala Muda huu kutoka Kwa single Maza..[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko Malipo mnapokea miamala na kuwekwa kwenye mabilboard kama alivyofanya Zamaradi?..
Yani hata ukimsema vipi huyo uliyemzalisha hatumuachi ng'oo wahumi twala mpaka maini na bado ukizubaa mtoto unaweza usimpate vilevile..[emoji23][emoji23][emoji23]🦥🦥🦥
Ujinasue kwani anawasiliana na baba mtoto wake?Huu mtego nimedumbukia had kutangaza ndoa singo maza wana nguvu nyie nilizubaishwa nashtuka watoto wawil sjui nilipgwa juju [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nipeni mbinu nijinasue kwny huu mtego wakuu .....
True mimi pia nina uzoefu na hiliHao single maza wapo na nyinyi ili muwalelee watoto wao ila hakuna upendo wowote
Ni wanawake ambao wameshatombeka sana ili kujaribu kupata mwanamume mjinga mjinga wa kulea mtoto/watoto wake
Single maza akishaahidiwa ndoa tu lazima akutunuku mbususu ili umuoe
Wakiwapata wajinga wa kulea watoto wao wananendelea kuliwa mbususu na watu wao wanaowakubali kwa sababu wana uhakika wa malezi ya watoto. Speaking from experience
Maua kwakoAna watoto wawili wananiheshimu sana kama baba Yao nami kanizalia mabinti wawili huwa nafarijika sana nikiwaona wakiwa na furaha muda wote huku wakicheza na kufurahi Kwa pamoja, kiufupi najivunia kuwa baba mlezi na baba wa familia nzima hayo mengine Baki nayo wewe
Ni red carpet material sio wife material..Mbn wacheka sheikh
Hiyo ndio habari ya mjini...huyo amepata chaka lakeSIngle maza wenyewe basi wanawaheshimu baba walezi ni ile basi tu maisha yaende.
Kwa sababu hata wao wanawake wakikutana huko wanawapondaga sana baba wa kambo wanawaitaga wajinga.
Nilishawahi kusikia single maza mmoja akiwa salon na mashosti zake wakisema Kweli mwanamume mzima anakosaje mwanamke ambaye hajazalishwa ila wewe shoga yangu mgande usimwache akulelee mtoto wako
Kuliwa si tatizo ila wakishakuwa na BOND ya mtoto HAPANAUnahakika hao ambao hawana watoto hawajatombeka wala kushika mimba?
Sasa kama kuliwa sio tatizo Si kama hakuna tatizoKuliwa si tatizo ila wakishakuwa na BOND ya mtoto HAPANA