Unajisikiaje ukikutana na Rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho, wako mbali sana kimaisha

Haya maisha hayataki hasira.
Nime experience kabisa
Kuwa wa kawaida hakukuondolei heshima yako mbele ya ma classmate waliowin life.
Kikubwa kuna namna ya kuishi nao!

Ukishajijua huna kitu cha kuonyesha mbele yao jitahidi sana maisha yako yawe ya siri.
Mpaka pale utakapotoboa.

Jifunze kuishi low profile hata kama una kajiuwezo.

Haya magroup ya wtsp usiwe mtu wa ku comment sana huko

Ukiwa hivyo utawafanya watake kujua life lako.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…