πΉπΉπΉ Unamuhamishia uwanja wa mapambano..!!Ndio maana nimecheka,mimi nawapenda wale wanajikutaga wakorofi,nahama nao mitaa naendeleza mapambano...ππ
Nginja nginja zako sio za kitoto π€£π€£π€£Kuna kipindi niliacha waungwana wakaanza kunichokoza πΉπΉπΉ
Nikagundua hawa kumbe wanapenda wenyewe..!!
Manyanza ake π»
Tatizo watu wanapenda kusifiwa hata km ujinga..!! πΉUnapoanzisha uzi tarajia comments za aina zote...then usitake serious...hapo unakuwa umetoboa
Ubunge hata Mimi nausakaWatu wako serious km wanatafuta ndoa au jimbo la ubunge πΉπΉπΉ
Usifikie huko unaemuona mkorofi humu leo yawezekana kesho akakupa mawazo yenye kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.Waweke tu option ya moja kwa moja kama ukiblock mtu huoni kingine chochote kuhusu yeye
Tatizo huku hakuna wa kukupigia kura tupo viroboti πΉπΉUbunge hata Mimi nausaka
Ndio hapo huwa naonaga members humu wanakuwaga Wana mambo ya kiwaki. Kuna member (Numbisa) kaandika ukim dislike mara5 anakuwa ignore Nimesha dislike mara 1 bado mara 4. π€£π€£π€£Tatizo watu wanapenda kusifiwa hata km ujinga..!! πΉ
Chama cha watoa comment tuko vizuri, hatucheki na yoyote π€£
Ngoja nikupe nawe moja zibaki tatuπΉπΉZimebaki nne π€£π€£π€£
πΉπΉπΉ Ignore za JF mi nazipenda mnoooo.!!Ndio hapo huwa naonaga members humu wanakuwaga Wana mambo ya kiwaki. Kuna member (Numbisa) kaandika ukim dislike mara5 anakuwa ignore Nimesha dislike mara 1 bado mara 4. π€£π€£π€£
Sema tu πAu basi πΉ
Wapo sema siwajuiTatizo huku hakuna wa kukupigia kura tupo viroboti πΉπΉ
π toka nimejua humu kuna mpaka vitoto vyangu vinatukana wazee navitupia humo tuπTatizo JF mnaichukulia serious Mangi πΉπΉ
Sijawahi ignore member yoyote na uzuri hata walioni-ignore sometimes wananimiss wananichungulia π€£
Nawapa pole wanajitesa tyuuu.!!
Humu unaweza kuta hata uncle wangu alinitongoza piem πΉπΉπ toka nimejua humu kuna mpaka vitoto vyangu vinatukana wazee navitupia humo tuπ
Waombe jf waitoe hiyo option ipo ili itumike bwasheeKwani hizi id mnazotumia ni majina yenu halisi? Mbona mwafikia hatua ya kuignore?
Sio huwajui sema hamjuani πΉπΉWapo sema siwajui
Leo nimeamka na roho mtakatifu πΉπΉSema tu π
Unakuta hata sijachukia , ila bangi zangu zina allergy na matusi tuπHumu unaweza kuta hata uncle wangu alinitongoza piem πΉπΉ
Sasa ndo uchukie kweli kwa watu wenye fake idβs hamjuani?? π€£
Kwa hiyo umeshaapishwa rasmiπ?πΉπΉπΉπΉ Yeaahhh..!!
Yani Ismail Haniyeh alivyokufa tu kundi kaniachia ss hivi lipo chini yangu..!!