Ame-like post ya kwako au ya mtu mwingine?. Unajuaje like ya mtu mwingine kwamba ime-like-wa na nani?Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu.
Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi mmoja humu amelike. Kutakana na umuhimu na nafasi yake,
kwa mtazamo wangu aki like post fulani nachukulia kama ni heshima fulani.
Zamani alikuwa ana like, miaka hii sijui ni pesa imeongezeka zikamtia jeuri au kesi zimentinga haonekani,
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la commentKabla sijajisikiaje muulize anajisikiaje nikipost kwenye huu mtandao wake.
ndio aliyekupa nafasi ya wewe kuandika upupu wako hapa, hivi ni kweli walevi wote hatutakwenda peponi?
Sasa mdogo wangu unafichaje uso, si uutoe tu tuuone ???Na likes za Polepole je?
shika adabu yako. bando langu ndilo limenifanya niandike upupundio aliyekupa nafasi ya wewe kuandika upupu wako hapa, hivi ni kweli walevi wote hatutakwenda peponi?
Sasa mdogo wangu unafichaje uso, si uutoe tu tuuone ???