Iko na mfumo huu,sijaona alama ya dole gumba mkuu.Kama unatumia jf app clik apo kwenye hicho ki dubwasha cha dole gumba (like) utaona hivi idadi ya id zilizo penda/like post yakoView attachment 1393726
Sana yaaniNaona hizi ID zinawadanganya wengi.
Naendelea kulike posts zako, ukilike zangu napata faraja halafu naendelea kuhamasika[emoji39][emoji39][emoji23]
π π π π Rafiki ulikuwa balaa. π π πRaha sana,Kama kurudisha fadhila mara moja moja nilikua naenda kwa profiles zao(mods)nachapa likes za kutosha
Daah waliponiamulia ban mfululizo nimewaziraaaa
Duuhhovyooo!!
umejisikiaje kuona like yangu?Naona Mkuu Melo kaamua kuona mbali kwa kumwaga likes za kutosha.
Ili kila mmoja ajisikie anakavyojisikia kiukweli ukweli. π
Safi sana.
π π π π Rafiki ulikuwa balaa. π π π
Hahahaaa!!! Uwiiiii.umejisikiaje kuona like yangu?
Walivyo wabaya hata hawakuzikumbuka. πππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu huwa wanalike kila post, hasa pale anapoanzisha uzi halafu watu wakachangia. Utakuta analike tu kwa aliyemjibu vizuri au hata aliyemjibu vibaya yeye anatoa like tu.
Lakini tangu nimeingia humu sikumbuki ni mara ngapi nimeona like za Maxence Melo kwenye nyuzi. Leo nimeona amelike uzi mmoja humu amelike. Kutakana na umuhimu na nafasi yake,
kwa mtazamo wangu aki like post fulani nachukulia kama ni heshima fulani.
Zamani alikuwa ana like, miaka hii sijui ni pesa imeongezeka zikamtia jeuri au kesi zimentinga haonekani,
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuona hapa anatabasamu tuu kama kawaida yake
khaaa! embu muone huyo wa post #71 alivyoachilia hilo chekoHahahaaa!!! Uwiiiii.
Hahahaa!! Mtani ujue nacheka tu hapa. Lol.khaaa! embu muone huyo wa post #71 alivyoachilia hilo cheko
Raha sana,Kama kurudisha fadhila mara moja moja nilikua naenda kwa profiles zao(mods)nachapa likes za kutosha
Daah waliponiamulia ban mfululizo nimewaziraaaa
Ww unakulaga ban?? Duhπ π ! Mie mwaka mpya tu ikanikuta na ban..kwanza nshazoea!