Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

Waaow mwaka mpya wakakuvurugia,acha kabisa kuna kipindi nilikula ban ya wiki kurudi tu ndani masaa machache nikapata nyingine ya wiki[emoji23][emoji23]

🀣🀣🀣
Ww nakuonaga uko active kule celebrity..dah mie siasa! Nimeamua kuachana na ujinga!
 
Na leo ndo kwanza siku ya tatu tangu mfunge shule kwasababu ya Corona,,,


Bado siku 27 ,,, tutakuvumilia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nafurahi sana na mara kadhaa hivi ame like kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ufahari sana kama, ambavyo mwalimu akikuandikia Vema kwenye daftari class.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…