Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu humu 2003 hawajazaliwa 😀Miss Tanzania 2003...
Kwani humu kuna watoto?Kuna watu humu 2003 hawajazaliwa 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji56]Kuna watu humu 2003 hawajazaliwa [emoji3]
2003 ni umri wa miaka 19 na wengine wapo chuo first yearKwani humu kuna watoto?
halafu ndio wanaongoza kwa ubishi na ujuaji😄Kuna watu humu 2003 hawajazaliwa 😀
Wakati wengine tumemaliza chuo kikuu 2004 then unaona mtu anakitukana humu JF hiki kizazi cha keyboard ni shida.2003 ni umri wa miaka 19 na wengine wapo chuo first year
Shida sanahalafu ndio wanaongoza kwa ubishi na ujuaji😄
Heee, alikuwa Miss Tanzania 2003Ni nani huyu[emoji848]
hahaaa vumilia tu mkuuWakati wengine tumemaliza chuo kikuu 2004 then unaona mtu anakitukana humu JF hiki kizazi cha keyboard ni shida.
Ni nani huyu[emoji848]
Ah ndio hivyo nao watakutana nayo haya uzuri wake karma is a bitch. Kama haufi mapema basi uzee utajikuta na vijana watajiona wao wajanja kushinda wewe na watakutikana tu maana vijana wa sasa nidhamu ni zero.hahaaa vumilia tu mkuu
lakini ni kama mzunguko tu, ukiwa kijana unaona wazee wanazingua na wewe ukifika uzee ni haki kuzinguliwa tu maana mwisho wa siku ujana kila mtu anaupenda. Ila kwenye kutokuwa na nidhamu ni tatizo la ubovu wa malezi tuAh ndio hivyo nao watakutana nayo haya uzuri wake karma is a bitch. Kama haufi mapema basi uzee utajikuta na vijana watajiona wao wajanja kushinda wewe na watakutikana tu maana vijana wa sasa nidhamu ni zero.
Kwa aina ya uandishi wa wengi humu unaona kabisa Kuna tofauti ya JF ya 2006 na JF ya sasa.lakini ni kama mzunguko tu, ukiwa kijana unaona wazee wanazingua na wewe ukifika uzee ni haki kuzinguliwa tu maana mwisho wa siku ujana kila mtu anaupenda. Ila kwenye kutokuwa na nidhamu ni tatizo la ubovu wa malezi tu
hiyo ni kweli mkuu, siku hizi hata nje ya Jf kumekuwa na ujuaji ambao hauna msingi wowote. Watu wanajadiliana kwa maneno ya kusikia na wanachokiamini zaidi hata ya proofKwa aina ya uandishi wa wengi humu unaona kabisa Kuna tofauti ya JF ya 2006 na JF ya sasa.
Angalia mada za kipindi kile na angalia majadiliano ya kipindi kile yalikuwa ya staha sana hakukuwa na kutukanana kwa hovyo mtu alijadili kwa hoja na evidence Ila Sasa hivi mtu anaibuka na matusi juu mpaka unaona heri unyamaze tu.
Angalia iD nyingi za zamani wamekaa kimya siku hizi hawachangii, sio kwamba hawana Cha kichangia Ila mtu anaona hata akiandika Cha maana wataibuka vijana na matusi tu.
Mwishowe unaamua kusoma na kupita unaona kabisa asilimia kubwa ni wajinga kabisa watupu hawajui kusoma na kuchambua mada na kuzijibu kwa ustadi Yani mtu akizidiwa hoja anaanza kutukana Wala sio kukubaliana au kumaliza tu ubishani kwa amani na staha.
Malezi yamekuwa shida ukiangalia namna ambavyo watu wanaargue humu .