Mtoroka karne
Member
- Jan 18, 2022
- 28
- 47
Hivi wakuu kuna huyu miss tanzania wakuitwa Richa adhia yule muhindi alipoteleaga wapi ivi?l
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewahi ishi nae jirani Calfornia sijui kama bado yuko huko.Hivi wakuu kuna huyu miss tanzania wakuitwa Richa adhia yule muhindi alipoteleaga wapi ivi?l
calfonia ya marekani au calfonia ya shithole country?Nimewahi ishi nae jirani Calfornia sijui kama bado yuko huko.
Wewe utachagua.calfonia ya marekani au calfonia ya shithole country?
Nampenda sana Bahame.
Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South.
Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
kana miguu mizuriii
Hahahah na wewe humjui silvia bahame miss tz 2003 binti mmoja mwenye sura upole ma mwanya maridhawaNi nani huyu[emoji848]
Nampenda sana Bahame.
Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South.
Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
Kwa aina ya uandishi wa wengi humu unaona kabisa Kuna tofauti ya JF ya 2006 na JF ya sasa.
Angalia mada za kipindi kile na angalia majadiliano ya kipindi kile yalikuwa ya staha sana hakukuwa na kutukanana kwa hovyo mtu alijadili kwa hoja na evidence Ila Sasa hivi mtu anaibuka na matusi juu mpaka unaona heri unyamaze tu.
Angalia iD nyingi za zamani wamekaa kimya siku hizi hawachangii, sio kwamba hawana Cha kichangia Ila mtu anaona hata akiandika Cha maana wataibuka vijana na matusi tu.
Mwishowe unaamua kusoma na kupita unaona kabisa asilimia kubwa ni wajinga kabisa watupu hawajui kusoma na kuchambua mada na kuzijibu kwa ustadi Yani mtu akizidiwa hoja anaanza kutukana Wala sio kukubaliana au kumaliza tu ubishani kwa amani na staha.
Malezi yamekuwa shida ukiangalia namna ambavyo watu wanaargue humu .
MmhHakuna hata kapicha kakusindikizia uzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utachagua.
Ni miss ambaye hakutaka maisha ya show off. Hongera kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahSylivia kawa teja, anaishi na mama ake kunduchi nyumba ya kanisa la mbezi chapel
Ndo maana kumbe n mtoto wa kishua huyu uwiiiiih.Amekulia Uingereza, baba ni daktari wa Jeshi based in Saudia Arabia anaishi poa tu mama aliachana na mzee akajirudia bongo, mzee ana maisha yake Ila anawatunza fresh kuanzia monthly allowance yeye na mdogo wake, shida nini [emoji1745]
Kuna kipindi cha miaka ya 2008 nlikua namkuta mitaa ya shoperz anaendesha nissan hardbodyAmekulia Uingereza, baba ni daktari wa Jeshi based in Saudia Arabia anaishi poa tu mama aliachana na mzee akajirudia bongo, mzee ana maisha yake Ila anawatunza fresh kuanzia monthly allowance yeye na mdogo wake, shida nini [emoji1745]
Zamani mamiss almost wote walitokea familia bora au zilizo na elimu plus exposure, hata wema na uwoya ni fame Tu imechukua nafasi yake lakini hata bila umiss bado wangeishi life zuri Tu sababu ya family backgroundNdo maana kumbe n mtoto wa kishua huyu uwiiiiih.
Ajabu na moderators wanashangaa shangaa tu.Kweli kabisa
Nimetoka kuona majibizano yamejaa matusi mazito ya nguoni na viungo vya binadamu.
Yaani baba na mama wa mtu wametukanwa kisawasawa.
Hii sio JF ile iliyojaa staha!!!