Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Ila sisi binadamu si wakamilifu mkuu. Kuna kutapeliwa na kudanganywa pia, achilia mbali kubakwa. Timu inaweza kufungwa kwa makosa ya wachezaji wa ndani pia, siyo kwa makosa ya golikipa tu peke yake.
Dunia haipo fair kwa kila mtu. Wrong place at wrong time, ni situation ambayo imeumiza mpaka wasio na hatia. Lakini ndio hivyo tena aliekutwa na uthibitisho ndio mwizi
 
Kwani si ndio tafsiri ya kuvaa shela jeupe,ama? Pakuipata hiyo bikra ndio tatizo sasa🀣🀣🀣
Hii nilikuwa siijui Leo pastor church kaiweka sawa kuwa shela ni kwa ajili ya bikra kibiblia kama huna bikra kuvaa utakiwi et.
 
Wewe ndo umesema hujali kuhusu body count kwa kusema bikira si ishu. Sasa mbona unaanza kujali tena mkuu? Halafu unabagua tena single mother? OK, akiwa keshatoa tumimba viwili vitatu?
Nimesema sijishughulishi na historia yake maana ake sitaki kujua wala kufuatilia kama alitoa mimba au body count ake 1000 maana sikuwepo na sina uhakika
 
Yule aliyemtumia kwa mara ya kwanza ataendelea nae kimya kimya wajikumbushie mambo.
 
Na wewe kabla hujamuoa umedinya wangapi? Nao si wanaenda kuolewa na watu wengine? Ila unayemuoa wewe hutaki awe amedinywa...mnachekesha
Aliekuchezea ni mawanaume aliekutoa bikira na akukuoa, sio waliofuata baada ya hapo. Kwahiyo kama hao aliokutana nao hawakua bikira bado ana haki ya kuweka kigezo cha bikira kwa mwanamke atakaemuoa
 
Nimesema sijishughulishi na historia yake maana ake sitaki kujua wala kufuatilia kama alitoa mimba au body count ake 1000 maana sikuwepo na sina uhakika
That means hujali kuhusu body count si ndio? Ndo maana nikasema MUNGU fundi, hii dunia yake ina kila aina ya watu, wakati kuna watu ambao wanataka bikira wewe hujali imefokonyolewa wapi na wapi unaibeba twende kazi mradi ikupende na kukuheshimu. Si ndio?

Usione aibu mkuu, hakuna la ajabu, mbona tupo ambao hatujali una watoto wangapi hata 10 we njoo tukuongezee wa 11 ulee na hao 10 tunaweza wasaidia mahitaji na hatujali baba zao wanavyojisikia huko waliko? Hahaha.
 
Mleta Uzi hajaongelea hili ndo maana sijalizingatia sana ila single mothers kwangu ni big No, maana huyu anaushahidi kabisa kua hafai ni mfupa uliomshinda fisi.
Shida ni ushahidi? Akiuficha fresh tu. Njia za kuficha si ni nyingi, anatoa mimba, anapeleka kijijini. Hahaha, mkuu nikuambie? Wewe jikite kwenye bikira unless tayari ushaoa hapo sawa ila kama bado tafuta bikira usijifanye haujali wakati unajali.
 
Sasa wikiend itaisha vipi bila kutibua nyongo za watu. Kukaa bar kunywa bila kuanzisha kaugomvi kidogo ni matumizi mabaya ya kilevi
 
Usione aibu mkuu, hakuna la ajabu, mbona tupo ambao hatujali una watoto wangapi hata 10 we njoo tukuongezee wa 11 ulee na hao 10 tunaweza wasaidia mahitaji na hatujali baba zao wanavyojisikia huko waliko? Hahaha.
Duh, we nomaa hii ni zaidi ya ujasiri mkuu Kila la kheri!
 
Shida ni ushahidi? Akiuficha fresh tu. Njia za kuficha si ni nyingi, anatoa mimba, anapeleka kijijini. Hahaha, mkuu nikuambie? Wewe jikite kwenye bikira unless tayari ushaoa hapo sawa ila kama bado tafuta bikira usijifanye haujali wakati unajali.
Nishasogeza used girl tunakimbiza siku, Bikra siyo rahisi kihivyo mkuu
 
Hizi aina za wanawake mnazoziandika humu za kutoa mimba sijui kumpa X ili amuage kabda ya kuolewa wanataka heshima?
Ndio mkuu, wanawake wa kisasa wamekalili kwamba wana haki ya kutumia uhuru wao wa kufanya ngono vile watakavyoamua wenyewe(haki ambayo mimi nakili ni kweli wanayo). Halafu katika point yoyote ya maisha wakiamua kuachana na huo uhuru wa kufanya ngono kiholela holela basi ni shurti kila mwanaume ampende, amuheshimu, amthamini, amkubali na ikiwezekana afanye nae maisha bila kujali past yake. Wanashindwa kuelewa kama mwanamke ana past chafu hata aokoke, ashinde kanisani n.k bado kuna wanaume watamkataa kwa sababu ya past yake.
 
Duh, we nomaa hii ni zaidi ya ujasiri mkuu Kila la kheri!
View attachment 3651401
Katika ukatili mwanaume unaweza jifanyia ni kujinafikia. Kama unajali stick kwenye principle, Bikira zipo, tafuta yako weka ndani kama hujali okota unayemuokota endelea na maisha.

Hizi nusu Shari za kujiona una afadhali kwa sababu wa kwako alipokuwa chuoni huko hujui alitoa mimba ngapi za aliyekuwa analala naye hostel ni kujinafikia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaokoka, wanabatizwa wanataka ndoa sasa baada ya kazi nzito sio?
 
Ila nn wakuu, wanawake watampinga Mtoa mada Ila ameongea ukweli 100%

N bc tuu wanawake hawataki kuupokea ukweli.
Dunia ina ukweli mwingi sana, using'ang'anie mmoja.

Mleta mada kaleta ukweli wake hapa, ila hataki kukubali ukweli wa wengine.

Kwanza mwanamke hawezi kutumika, kwasababu sio bidhaa. Huu nao ni ukweli.

Sio mahusiano yote huishia kwenye ndoa. Huu nao ni ukweli.

Ikiwa kuna njia salama za kufanya ngono siku hizi, hakuna haja ya kusubiri ndoa, watu wanapaswa kufurahia mahusiano kikamilifu. Huu nao ni ukweli.

Historia ya mtu haitoshi kumhukumu, bali ni machaguo na matendo yake. Huu nao ni ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…