Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Mimi nimeshakupa ofa hiyo natoa vya miezi kumi na miwili kabisa, hizo za pembeni sasa ndio utakuwa unaagiza mwenyewe kama nyongeza😎
Wazee tunakawaida ya kuridhika mapema, hata ile kukandwa kandwa misuli na mikono laini huwa Asante hazikauki midomoni mwetu

Ndiyo iwe kuletewa Kiko zote hizo

Anza kuniletea hizo Kiko tu mjukuu 🤭
 
Wazee tunakawaida ya kuridhika mapema, hata ile kukandwa kandwa misuli na mikono laini huwa Asante hazikauki midomoni mwetu

Ndiyo iwe kuletewa Kiko zote hizo

Anza kuniletea hizo Kiko tu mjukuu 🤭
Kukandwa mtakandana huko na wajukuu zako.. mi mwenyewe natafuta wa kunikanda😅

Ndio ili utulize wenge mzee😎

Hahha ntakutumia kwenye bus!
 
Kukandwa mtakandana huko na wajukuu zako.. mi mwenyewe natafuta wa kunikanda😅

Ndio ili utulize wenge mzee😎

Hahha ntakutumia kwenye bus!
Kuwa na imani na Wazee mjukuu 🤭

Fanya uniletee tu hizo Kiko, si unajua babu yako Nina arosto kubwa
 
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga

Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".

Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.

Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.

The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.

She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.

Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.

Don’t be a simp
Mkuu umeongea ukweli lakini sasa Mimi unaenitukana nimevaa suti na kucheka Cheka kama taahira pale mbele nitajuaje sasa hayo yote? By the way hivi kwa mfano tukisema wanaume wote ambao hawajaoa waoe wanawake mabikra watatosha kweli?
 
Kwahiyo anakubali kutoa utamu kwasababu kaambiwa ataolewa sio kwasababu ameolewa???
Anayemdanganya ni Allien au mwanaume? Kumbuka unapotumia mke wa mtu na wewe wa kwako anatumika na mwingine. Mkija kuoana, kila mtu anakua ameshachezea mke wa mwenzake. Hivyo ni kuvumiliana tu.

Huwezi mlaumu mtu uliyemdanganya kuwa imekuaje amekubali kudangangika wakati weae ndiye mdanganyaji mwenyewe
 
Dunia ina ukweli mwingi sana, using'ang'anie mmoja.

Mleta mada kaleta ukweli wake hapa, ila hataki kukubali ukweli wa wengine.

Kwanza mwanamke hawezi kutumika, kwasababu sio bidhaa. Huu nao ni ukweli.

Sio mahusiano yote huishia kwenye ndoa. Huu nao ni ukweli.

Ikiwa kuna njia salama za kufanya ngono siku hizi, hakuna haja ya kusubiri ndoa, watu wanapaswa kufurahia mahusiano kikamilifu. Huu nao ni ukweli.

Historia ya mtu haitoshi kumhukumu, bali ni machaguo na matendo yake. Huu nao ni ukweli.
njia salama za kufanya ngono siku hizi ni zipi mweshimiwa?
 
Back
Top Bottom