Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,907
na wewe umeolewa ukiwa umetumikaš«¢Mmeanza kukasirika.
na wewe umeolewa ukiwa umetumikaš«¢Mmeanza kukasirika.
Mungu atusaidie , tutoke huku kwenye insecurity na negative thinkingNdio mnazozitaka eti, you really need deliverance!
Awasaidie sana!Mungu atusaidie , tutoke huku kwenye insecurity na negative thinking
wapo walip olewa ndoa za utotoni wakiwa bikra ila baadae wakakengeuka na kuwa makahaba ,ndani ya ndoa.Soma mke wa nabii LUTU aliyekuwa anaishi nchi ya SODOMA na GOMORA.Mungu atusaidie , tutoke huku kwenye insecurity na negative thinking
Eti hili nalo mpaka atokee mtu kuwaeleza hata akili za kuzaliwa tu hawana! Bikra sio guarantee ya mke mwema! Unaweza kukutana na kurumbembe tu likaamua kutulia maana vyote lilivyopitia ni ubatili mtupu! Bikra hata hajaionja joto ya jiwe kama binadamu atatamani kuhangaika kidogo aonje na yeye vilivyopo duniani, or else umfungie ndani kama msukule!wapo walip olewa ndoa za utotoni wakiwa bikra ila baadae wakakengeuka na kuwa makahaba ,ndani ya ndoa.Soma mke wa nabii LUTU aliyekuwa anaishi nchi ya SODOMA na GOMORA.
INSECURITY ni tatizo.
Kumbe kugawagawa uchi kabla hujaolewa ni aibu sana, mbona umeumia sana mkuu matusi ya nini sasašna wewe umeolewa ukiwa umetumikaš«¢
tatizolo la baadhi yetu ni INSECURITY hata katika uchumi tu mfano umemuoa mwanamke graduate akiwa hana kazi wewe ukiwa na kazi ya udereva ukawa unamuhudumia ,ila baadae akapata kazi kwenye green pasture ,akawa anapata semina za nje ya nchi kama kwenda sokoni ,akawa na uchumi mkubwa mara 100 yako ,na akawa ana mchango mkubwa kwwenye kuhudumia familia kwa asilimia 90 mpaka ananunu nyumba ya milioni 80 anaandika majina yenu n.kEti hili nalo mpaka atokee mtu kuwaeleza hata akili za kuzaliwa tu hawana! Bikra sio guarantee ya mke mwema! Unaweza kukutana na kurumbembe tu likaamua kutulia maana vyote lilivyopitia ni ubatili mtupu! Bikra hata hajaionja joto ya jiwe kama binadamu atatamani kuhangaika kidogo aonje na yeye vilivyopo duniani, or else umfungie ndani kama msukule!
Uko sahihi kabisa, nilipata kijana kipindi nasoma chuo akaniambia niache chuo, nikitaka kufungua biashara ananiambia nisubiri kwanza! Kuna wanaume ni wacheleweshaji na wabinafsi sana ndiomaana wanatafuta mazumbukuku wawatawale! Yani mimi nimezaliwa ili unifuge ndani kama utumbo.. Never!tatizolo la baadhi yetu ni INSECURITY hata katika uchumi tu mfano umemuoa mwanamke graduate akiwa hana kazi wewe ukiwa na kazi ya udereva ukawa unamuhudumia ,ila baadae akapata kazi kwenye green pasture ,akawa anapata semina za nje ya nchi kama kwenda sokoni ,akawa na uchumi mkubwa mara 100 yako ,na akawa ana mchango mkubwa kwwenye kuhudumia familia kwa asilimia 90 mpaka ananunu nyumba ya milioni 80 anaandika majina yenu n.k
sasa hapa wengine wanaingia na insecurity na kuanza kuwa na gubu..au hata .,kumshauri mwanamke *aache kazi akae nyumbani kwa sababu ya kulinda K ya mke wake
Ndio bikra wengi lazima awaze kuonja kingine na hawa vijana hawajui. Vinginevyo huyo kijana aamue kuwa masikini maisha yake yote asifanye kazi yoyote abaki kuchunga kidude cha mkewe bikra asipitiwe na wahuniEti hili nalo mpaka atokee mtu kuwaeleza hata akili za kuzaliwa tu hawana! Bikra sio guarantee ya mke mwema! Unaweza kukutana na kurumbembe tu likaamua kutulia maana vyote lilivyopitia ni ubatili mtupu! Bikra hata hajaionja joto ya jiwe kama binadamu atatamani kuhangaika kidogo aonje na yeye vilivyopo duniani, or else umfungie ndani kama msukule!
Ni kitu ambacho hakiwezekani ndiomaana wanatamani wawapate ili wawadhibiti kwasababu hawajaona vyote! Siku ukimuudhi akatafuta mbadala ndio utajua hujuišNdio bikra wengi lazima awaze kuonja kingine na hawa vijana hawajui. Vinginevyo huyo kijana aamue kuwa masikini maisha yake yote asifanye kazi yoyote abaki kuchunga kidude cha mkewe bikra asipitiwe na wahuni
wakati mwingine ukioa mwanamke aliyemaliza "foolish age* akaamua kutulia ,anakuwa sio limbukeni wa dunia.Ni kitu ambacho hakiwezekani ndiomaana wanatamani wawapate ili wawadhibiti kwasababu hawajaona vyote! Siku ukimuudhi akatafuta mbadala ndio utajua hujuiš
Insecured boys hawayajui haya muwafundishe!wakati mwingine ukioa mwanamke aliyemaliza "foolish age* akaamua kutulia ,anakuwa sio limbukeni wa dunia.
Sema hao wanawake wenyewe wanapenda kugawa ukishakuwa una miaka 18+ wewe ni mtu mzima unawezaje kudanganyikaAnayemdanganya ni Allien au mwanaume? Kumbuka unapotumia mke wa mtu na wewe wa kwako anatumika na mwingine. Mkija kuoana, kila mtu anakua ameshachezea mke wa mwenzake. Hivyo ni kuvumiliana tu.
Huwezi mlaumu mtu uliyemdanganya kuwa imekuaje amekubali kudangangika wakati weae ndiye mdanganyaji mwenyewe
Hii reply nimei copy nikaidownload nimeiprint na kuiwekea lamination kabisa ina ujazo wa tani milion kadhaa.Mimi kitu ambacho hakinipi shida ni kusikia mke ama mpenzi amefanya ngono na nani.
Sex ni hitaji la kibinadamu linahusisha pia saikolojia hisia na akili.
Mtu anatakiwa kuwa huru anapofanya mapenzi.
Kinacho tupa shida ni ubinafsina umimi.
Kwamba ni mimi tu nastahili hata kama hilo stahili halitokani na mimi.
Mimi mtu akianza kusema bikra sijui kuoa bikra ndio umemaliza maisha namuonaga amepungukiwa kichwani.Ni kitu ambacho hakiwezekani ndiomaana wanatamani wawapate ili wawadhibiti kwasababu hawajaona vyote! Siku ukimuudhi akatafuta mbadala ndio utajua hujuiš