Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Mimi mtu akianza kusema bikra sijui kuoa bikra ndio umemaliza maisha namuonaga amepungukiwa kichwani.

Maisha ni process. Hata awe bilionea huwezi kumdhibiti mtu kwamba asiwezi kutoka eti ksbb umembikiri ndio iwe tiket ya kumuona atadumu hivyo kwako tu bila kuhitaji mtu mwingine wakati mwingine huo upunguani. Tena kwenye dunia ya sasa ni ujinga kuwaza kumdhibiti binadamu mwenye akili zake,halafu umteke akili zake. Ngumu sana.

Vinginevyo aje na kigezo cha kuitaka kuipata tu ile bikra kwa muda ule tu lakini haiwezi kuwa tiket ya kumdhibiti moja kwa moja asitoke. Wamechemka.

Vinginevyo aamue kuwa masikini milele ili ailinde aliyoibikiri muda wote,hata chooni aende nae. Na hapo siku 2 tu anaachwa ksbb naona kbs atashindwa kumudu kumhudumia.
Na wahuni wakiona unailinda sana ndio wanaisaka sana hiyo. Wakiona unaisifia sana ndio wanaisaka sana hiyo.
Unemaliza kila kitu! Na wajue kwamba hata malaya waliziw ana bikira!
 
Mkuu,

Nadhani wewe una maumivu sana moyoni Huu UJINGA Unao ongea hautaisaidia jamii kama ifuatavyo.

1. Wewe hayo maneno kwanini usiite ukoo wako Yaani Baba awepo Mama na Waliobaki utoe nasaha kwa FAIDa ya ukoo wenu.

2. Unazungumza utoto wewe ukija kua mzazi kwa jamii zetu za ki Afrika wewe utamsaidia vipi mkeo kwa binti zako ili mkweo akute bikra.

3. Bikra haifanyi kupendwa zaidi na mwanamke wapo tulio watoa kwa sasa ni wake za watu na wanashimu ndoa zao pia sisi tumeoa walio tolewa na wanaheshimu ndoa.

4. Jitahidi kuifanya akili yako kua na FIKRA chanya NGONO inaendesha sana VIJANA wa kizazi hiki Laiti baba yako angekusimulia mabaya ya mama yako na mazuri yake ungewaheshimu WANAWAKE.

Mwisho,
Mkuu niwie radhi kama kuna sehemu nitakua nimekukwaza kwa uchangiaji wangu ila tuheshimu wanawake pia wanaume tujiamini Dunia ya sasa hata upewe bikra 1000 ukae nao kama hawakuheshimu na hawana hofu ya Mungu watakusaliti.

Note: UKITAKA UMCONTROL MWANADAMU UMBA WA KWAKO.🙏🏻
 
wewe umeoa alietumika? au umeolewa ukiwa umetumika? ama umeyajuaje hayo?
Mi sijawahi kua raisi wa Tanzania wala mteuliwa wa raisi wa Tanzania,wala mtoto wake, ila najua kua raisi wa Tanzania anateua na kutengua Kila anapojisikia anaweza kuteua hata mwanae,hata kama wapo wenye sifa zaidi ya mwanae,kua waziri au naibu waziri🤣😀😆😆
 
Kuandika hizo pumba kila siku zidi ya wanawake hautopata nafuu yoyote ya maumivu uliyopitia kwenye relationship zako huko nyuma

You pretend to be giving advice to your fellow men, but you do so in a deeply degrading and disrespectful way toward women
Shame on you Natafuta Ajira
Alichoongea ni UONGO?,ajibiwe kwa hoja kwa nini ni UONGO,........hapo tuna assume mtoa mada ana matatizo ya relationships kibao huko nyuma na sio mkamirifu na hajaoa bikira na kwake maisha ni magumu😆😀😀
 
Usiseme hivyo, mke analiwa na wahuni kwa Mpalange wewe unaoa mke ambaye Hana Marinda na bado shahawa za mwanaume mwingine anamezeshwa kwa kifupi wanammezesha hadi mikojo yao mdomoni mwake na bado ikichomoka anairudishia.

Usifanye masihara ati, muhuni wa kula tunda kimasihara na one night stand huwa mara nyingi wanapiga show za kibabe na bado wanamkula huyo Mkeo kwenye kinyeo a.k.a. TIGO wanakuachia Mwanamke ambaye Hana biKra zote mbili keshatolewa.
Kwenye maisha ili usonge mbele unahitaji kusikia maneno magumu kama haya😆😃😀
 
Mkuu,

Nadhani wewe una maumivu sana moyoni Huu UJINGA Unao ongea hautaisaidia jamii kama ifuatavyo.

1. Wewe hayo maneno kwanini usiite ukoo wako Yaani Baba awepo Mama na Waliobaki utoe nasaha kwa FAIDa ya ukoo wenu.

2. Unazungumza utoto wewe ukija kua mzazi kwa jamii zetu za ki Afrika wewe utamsaidia vipi mkeo kwa binti zako ili mkweo akute bikra.

3. Bikra haifanyi kupendwa zaidi na mwanamke wapo tulio watoa kwa sasa ni wake za watu na wanashimu ndoa zao pia sisi tumeoa walio tolewa na wanaheshimu ndoa.

4. Jitahidi kuifanya akili yako kua na FIKRA chanya NGONO inaendesha sana VIJANA wa kizazi hiki Laiti baba yako angekusimulia mabaya ya mama yako na mazuri yake ungewaheshimu WANAWAKE.

Mwisho,
Mkuu niwie radhi kama kuna sehemu nitakua nimekukwaza kwa uchangiaji wangu ila tuheshimu wanawake pia wanaume tujiamini Dunia ya sasa hata upewe bikra 1000 ukae nao kama hawakuheshimu na hawana hofu ya Mungu watakusaliti.

Note: UKITAKA UMCONTROL MWANADAMU UMBA WA KWAKO.🙏🏻
Hata ukiumba mwanamke wako mwenyewe hutaweza kum control,unajua Mungu alilichagua taifa la Israeli akasema hilo ni BIBI ARUSI wake akalipamba kwa mapambo na akafanya nalo agano,akafunga nalo NDOA.

Lakini kuna kipindi mwanamke huyu taifa la Israeli akamsaliti Mungu na kuanza kuabudu miungu mingine,mwanamke huyu akawa KAHABA,ndio maana Mungu akamwambia nabii nenda kaoe kahaba ,mana nyinyi taifa lsreael ndio mfano wa kahaba ambao mnaniomba msamaha nowasamehe kwa kitendo chenu cha ukahaba huo.

nabii Lutu alioa mwanamke bikira na nabii Lutu alikuwa anaongea na Mungu mtakatifu kabisa ,lakini alishindwa kumchunga mke wake asfifuate tamaa na anasa na ufuska uliokuwepo katika nchi ya SODOMA na GOMORA mpaka Mungu anawaambia ondokeni SODOMA nataka kuiangamiza kwa moto ila msigeuke kutazama nyuma ila mke wa Lutu akatazama nyuma ,na akageuka kuwa jiwe la chumvi au nguzo ya chumvi ambayo ipo mpaka leo.

Kama mke wa Lutu hakumsikiliza Mungu akatamani anasa za SODOMA na Gomora mji wa uzinzi na usodoma,..hata sasa tunaishi kwwnye kizazi cha ufuska kama sodoma na gomora,..mwanamke kama hawezi kuzuzuia tamaa zake za kufanya ufuska na ukahaba ,hutaweza kumchunga wewe ,kama hana hofu ya Mungu moyoni mwake ,mwanadamu ni complex machine ana complex mind huwezi kuchunga mtu mwenye akili kama wewe au hata kukuzidi wewe,ni sawa na kulinda bahari huwezi kuchunga bahari watu wasiogolee ukilinda pointi ya koko bichi watu wataogelea kawe,ukienda kawe wanaogelea koko .
 
Hiyo ya kiroho ya mwanaume aliyemtoa biKra, hapo ukute katolewa na biKra ya kinyeo kwahiyo unaenda Kuoa Mwanamke ambaye Hana Marinda.

Halafu ukute Mwanaume aliyemtoa biKra ya TIGO ilikuwa amepewa tunda kimasihara au Ile ya one night stand.

Inauma Sana
We jamaa unatia hasira sanaaa
 
Wote tumetumika na maisha?,😃😆😆,kwa kua wewe unabadili magari used,kua huamini kuna watanzania wenzako wanaweza kumiliki gari zero kilometer?,kwenye nchi hii hii?
Endelea kujiaminisha ujinga
 
Haya mambo yanaumiza mno Kuna dada mmoja wakati tunasoma sekondari alitoa mimba kama 3 hivi za mwanafunzi mwenzetu ambae alituzidi darasa huyo ndie alimbikiri....huyo dada baadae akaenda kusomea uuguzi na akapata ajira ila Kuna mwanajeshi kamuoa sasa tangu amuoe hajashika mimba na mbaya zaidi ni wakristo inamaana upuuzi wa huyu dada ndio unamgharimu hata mwanaume asie na hatia...kwasababu ukweli ni kwamba yule dada hawezi kuzaa na chakushangaza mumewe hajui chanzo cha hili...na huyo brother aliemuharibu mtoto wa watu bado anaendelea kupiga tu kila wakikutana.....
Hii noma aisee🙌🏼 Huyo mjeshi hajapata fununu zozote mpaka sasa?? Wanawake wana siri nyingi aisee kweli mtu akisema wanaume tuoe bikra aeleweke tu!
 
Alichoongea ni UONGO?,ajibiwe kwa hoja kwa nini ni UONGO,........hapo tuna assume mtoa mada ana matatizo ya relationships kibao huko nyuma na sio mkamirifu na hajaoa bikira na kwake maisha ni magumu😆😀😀
Mleta mada hajui kujenga hoja kwa heshima atajibiwa kama alivyo kuja
 
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga

Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".

Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.

Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.

The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.

She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.

Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.

Don’t be a simp
Naelewa sana nyuzi zako
 
Marriage is not a retirement plan! Mwanaume usikubali mwanamke afanye makorokocho yake alafu aje kukupumzikia!
Marriage is not a retirement plan! Mwanaume usikubali mwanamke afanye makorokocho yake alafu aje kukupumzikia!
hata wanaume huwa tuna retire kutoka kwenye kufanya makorokoro,sasa mkikutana wote mmeamua ku tetire kutoka kumtumikia shetani na kuachana na anasa za dunia na kuamua kumfuata Mungu,mnatulia kweli kwa sababu anasa za dunia mnazifahami na kuamua kuziacha KURETIRE baada ya kuona hazina faida zaidi ya hasara tu.

kuna wanaume wengine walikuwa wananunu makahaba kabisa na wakaamua kuretire na kutulia kwenye ndoa.
 
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga

Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".

Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.

Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.

The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.

She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.

Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.

Don’t be a simp
"Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira." Oya bro wadogo zako tutaoa kweli? Si kwa haya mapini unayotupiga nayo😂😂😂😂😂
 
Eti hili nalo mpaka atokee mtu kuwaeleza hata akili za kuzaliwa tu hawana! Bikra sio guarantee ya mke mwema! Unaweza kukutana na kurumbembe tu likaamua kutulia maana vyote lilivyopitia ni ubatili mtupu! Bikra hata hajaionja joto ya jiwe kama binadamu atatamani kuhangaika kidogo aonje na yeye vilivyopo duniani, or else umfungie ndani kama msukule!
Haya akiongea mwenye bikira italeta maana zaidi
 
tatizolo la baadhi yetu ni INSECURITY hata katika uchumi tu mfano umemuoa mwanamke graduate akiwa hana kazi wewe ukiwa na kazi ya udereva ukawa unamuhudumia ,ila baadae akapata kazi kwenye green pasture ,akawa anapata semina za nje ya nchi kama kwenda sokoni ,akawa na uchumi mkubwa mara 100 yako ,na akawa ana mchango mkubwa kwwenye kuhudumia familia kwa asilimia 90 mpaka ananunu nyumba ya milioni 80 anaandika majina yenu n.k

sasa hapa wengine wanaingia na insecurity na kuanza kuwa na gubu..au hata .,kumshauri mwanamke *aache kazi akae nyumbani kwa sababu ya kulinda K ya mke wake
A man who refuce to be a retirement plan is not insecure. He is simply not stupid
 
Yaani mpaka unashupaza mishipa ya shingo eti nataka nikuambie. Yaani kama unachoongea kina maana.
YAANI KAMA NDIO FIKRA ZA VIJANA HIZI. KUWA NA UNAFUU WA MAISHA WEWE UTAKUSIKIA TU RADIONI. WEWE UTAKUFA MASIKINI. KAZI YAKO NI KUCHUNGA KIDUDE CHA MKEO.
Kwaiyo unataka kurusha ngumi au
 
Back
Top Bottom