Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

kampeni ya kataa ndoa kuwazuia watu wasioe na kuolewa ,hii ajenda haitokani na Mungu...sijui nguvu iliyoko nyuma ya hii agenda ya kataa ndoa ila iko kinyume na mpango wa Mungu.
Mpaka hao wanawake wawapige KELBU ndio huwa akili inareboot!!!

📌KATAA NDOA,NDOA MAANA YAKE UMEKUBALI KUMTUMIKIA HUYO MWANAMKE MPAKA ATAPOKUACHA,STUKA MNAIBIWA NGUVU NA MUDA WENU!!!
 
Mimi kitu ambacho hakinipi shida ni kusikia mke ama mpenzi amefanya ngono na nani.

Sex ni hitaji la kibinadamu linahusisha pia saikolojia hisia na akili.
Mtu anatakiwa kuwa huru anapofanya mapenzi.

Kinacho tupa shida ni ubinafsina umimi.
Kwamba ni mimi tu nastahili hata kama hilo stahili halitokani na mimi.

Mwanamke wako kudinywa na wanaume wengine sio issue issue ni pride. Mwanaume anafurahia zaidi PRIDE/HESHIMA yake ikiwa untouchable.

Wanaume hata sex yenyewe hatuenjoy zaidi tunaenjoy sifa ya kula pisi kali na ndio maana ukiwa na kidemu sura ya mjomba utafanya juu chini uwe unakigudha kwa siri, unajua kwanini its PRIDE!!!

📌Kwahiyo kijana make no mistake about it, mwanamke wako kufuturiwa na wanaume wengine tena unakuta wengine washenzi wanafumua na spika kabisa mziki mdundo😄😄😄 ila wewe hujawahi hata kuona naniliu!!!!

Mtaani wakijua wanamake one and only one assumption.Jogoo lako goigoi.Mwanaume yetote hata kama anaperform vizuri kwa bed ila akiambiwa hayo maneno au fununu kuwa hmna kitu basi EGO yake imeguswa na kisu kikali.Huwa anapoteza CONFIDENCE KUPITA MAELEZO.
 
Mimi kitu ambacho hakinipi shida ni kusikia mke ama mpenzi amefanya ngono na nani.

Sex ni hitaji la kibinadamu linahusisha pia saikolojia hisia na akili.
Mtu anatakiwa kuwa huru anapofanya mapenzi.

Kinacho tupa shida ni ubinafsina umimi.
Kwamba ni mimi tu nastahili hata kama hilo stahili halitokani na mimi.
oya nipe namba za mkeo nimchakate sababu huna umimi
 
3B4C6F31-9239-496A-8793-6FC124A60E8E.jpeg

You guys are sick🤦🏽‍♀️
 
Mpaka hao wanawake wawapige KELBU ndio huwa akili inareboot!!!

📌KATAA NDOA,NDOA MAANA YAKE UMEKUBALI KUMTUMIKIA HUYO MWANAMKE MPAKA ATAPOKUACHA,STUKA MNAIBIWA NGUVU NA MUDA WENU!!!
namtumikia vipi mwanamke ambaye ana kipato kikubwa mara dufu ya cha kwangu,kama mwanamke ananunua nyumba ya milini 80 anaandika majina yenu lake na langu,analipa ada za watoto,anakuheshimu,mwanminifu ,kama mwanamke anakununulia gari ya milini 20+ ,mali alizowekeza kwenye familia kwa majina yetu ni nyingi na za thamani katika assets tunazomiliki 90% ni contribution ya mwanamke mimi kwa mshahara wangu wa udereva ni hela ya vocha tu,kulinganisha na kipato chake ,na anahudumia familia kwa mchango mkubwa 90% ya mahitaji ya familia.
AMINI NAKWAMBIA.
Wanawake hawafanani mkuu kwa habari ya uchumi,kuna mwanamke mmoja anaweza akawa na uchumi mkubwa kuliko wanaume wa kawaid a hata 100...na bado akatulia ndani ya ndoa ,sio wanawake wote wana njaa au ni tegemezi kwa wanaume,kuna wanawake wanye mchango mkubwa kwenye famillia kuliko hata waume zao,sema tu wanaume wengi hawasemi tu kuwa wanawake zao wamewazidi kipato au mchango wao kwenye familia.

SI KWELI KWAMBA TUNAWATIMIKIA WANAWAKE ,KUNA WANAWAKE WANATUMIKIA WANASAPOTI FAMILIA PAREFU KIUCHUMI...kwa habari ya kiuchumi..si kweli ..labda kama kuna lingine.
 
wanandoa huwa wanaachana kama kuna sababu ya msingi ya kuachana,
kama huna sababu ya kumuacha mke wako,huwezi ukamuacha kwa kusikiliza ushauri wa walioshindwa ndoa kwa sababu ndoa yako iliyokushinda hailingani na ya kwangu*NDOA HAZIFANANI*
 
Inaweza kuonekana kuwa ni kebehi lakini ki ukweli kuoa mwanamke ambaye ameshaondolewa usichana wake ni sawa na kula chakula alichobakisha mtu mwingine ( MAKOMBO).....

Labda iwe alishawahi kuolewa then wakashindwana na mwenzake kwa kuwa NDOA ni jambo la heshima....lakini sio mtu amepuyanga na wanaume kadhaa ambao wamevunja mlango kihuni alafu unaletewa unakuja kubebeshwa mzigo wa mahari......

Ndio hivyo tu kwa kuwa dunia imeshakuwa ya kishenzi lakini kimsingi kununua bidhaa ya mtumba kwa bei ya mpya ni utapeli....

Imagine Mungu amemuumba mwanamke kwa heshima na akamuwekea kufuli kwa heshima ya mumewe na jamii yake kwa ujumla... lakini kufuli linavunjwa kihuni huku mume anakuja kula makombo

Wahuni siyo watu Wazuri. Wao wanavunja makufuli yote mawili ya mbele na nyuma. Halafu bado kidume kinatamba mtaani eti nimeeoa Mwanamke mzuri, kenge kweli hao majamaa wa hivyo.

Unaoa Mwanamke ambaye Hana Marinda halafu unakuja kitaa kututambia na bado huyo muhuni aliyemtoa biKra ya kinyeo anakugongea
 
Back
Top Bottom