Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Mwanaume na mwanamke hawafanani hata siku moja! Mwanaume anatumia ila mwanamke anatumiwa! Mwanaume aliyetembea na wanawake 100 na mwanamke aliyetembea na wanaume 100 hawafanani! Hilo weka akilini na usisahau!
wote tumetenda dhambi lakini Mungu ametusamehe,kama wote mume amua kuacha maisha ya uzinzi/zinaa na kutulia katika ndoa pamoja kwa uaminifu,na kutubu na kuziacha njia mbaya za zamani,Mungu anatusamehe,tunakuwa viumbe vipya ya kale yanapita tunaanza mapya.
Tufute hiyo negativity ya kuwa na insecurity kama hukuoa bikra usiogope,wala usiwaze wala usichunguze PAST ukianza ku dig past ama kuhofia past history huta move foward ni vizuri kuanza upya kurasa mpya.
Vigezo ni vingi kila muoaji ana vigezo vyake anavyoangalia,anayetaka lazima aoe bikira yupo sawa kwa mtazamo wake.

ambaye bikira sio kipaombele namba moja pia yupo sawa ,kila mti ajipangis vigezo anavyovitaka yeye kadiri ya mtazamo wake.MITAZAMO INATOFAUTIANA kila mtu ana namna yake anavyotafsiri mambo na anavyoyapa umuhimu mambo ,mimi naweza nikaona bikira sio kitu cha lazima kwangu,kumbe kwa mwingine ni kigezo cha msingi,na wote tuko sawa.
 
miaka ya nyuma binti mmoja mrembo sana very decent wa chuo kikuu akiwa mwaka wa pili alikuwa black mail na boy griend wake wakamfanyia GANG RAP wakarekodi na video wakairusha karibu chuo kizima wakaiona aibu yake.

baada ya tukio lile binti yule mrembo alitaka kujiua anywe sumu,lakini kijana mmoja wa kiume classmate wake akajitokea kuwa naye karibu na akamchumbia na kumuoa ,na sasa wanaishi wamefunga na ndoa ni binti mrembo sana.

SO imekuwa VIZURI MUNGU ameumba watu wenye Mitazamo tofauti tofauti na NGUVU TOFAUTI za KUBEBA MAMBO MAGUMU.

sasa kama huyu kijana aliyuoa binti ambaye alibakwa na kindi la wanaume tena wakamchukuaa video na video imerushwa chuo kizima wanafuzi wameona kama ANGEKUWA NA MTIZAMO KAMA WAKO wa kuangalia bikira ,pengine asingemuoa kwa sababu hana bikira na alibakwa tena kwa GANG./kundi la wabakaji.
 
Soma na uelewe ndo ujibu usikurupuke tu kujibu!
 
Eti hili nalo mpaka atokee mtu kuwaeleza hata akili za kuzaliwa tu hawana! Bikra sio guarantee ya mke mwema! Unaweza kukutana na kurumbembe tu likaamua kutulia maana vyote lilivyopitia ni ubatili mtupu! Bikra hata hajaionja joto ya jiwe kama binadamu atatamani kuhangaika kidogo aonje na yeye vilivyopo duniani, or else umfungie ndani kama msukule!
ILA HAYA MAELEZO PAMOJA NA UZURI WAKE KWA KIWANGO CHAKE HAYAKUPASWA KUTOLEWA NA MWANAMKE
YANA SOUND KAMA SOME SORT OF DEFENSIVE MECHANISM.
 
miaka ya nyuma binti mmoja mrembo sana very decent wa chuo kikuu akiwa mwaka wa pili alikuwa black mail na boy griend wake wakamfanyia GANG RAP wakarekodi na video wakairusha karibu chuo kizima wakaiona aibu yake.

baada ya tukio lile binti yule mrembo alitaka kujiua anywe sumu,lakini kijana mmoja wa kiume classmate wake akajitokea kuwa naye karibu na akamchumbia na kumuoa ,na sasa wanaishi wamefunga na ndoa ni binti mrembo sana.

SO imekuwa VIZURI MUNGU ameumba watu wenye Mitazamo tofauti tofauti na NGUVU TOFAUTI za KUBEBA MAMBO MAGUMU.

sasa kama huyu kijana aliyuoa binti ambaye alibakwa na kindi la wanaume tena wakamchukuaa video na video imerushwa chuo kizima wanafuzi wameona kama ANGEKUWA NA MTIZAMO KAMA WAKO wa kuangalia bikira ,pengine asingemuoa kwa sababu hana bikira na alibakwa tena kwa GANG./kundi la wabakaji.
Wewe ulikuwa wapi kwanini hukumuoa huyo binti?
 
aliniwahi tu yule binti alikuwa mrembo sana,asingewahiwa ningejilipua.
sio wote tunaoangalia bikira tu,kila mtu ana vigezo vyake anavyovipa umuhimu katika kuoa,kama wanaume wote tungekuwa tuna angalia bikira tu kabla ya kuoa ,WANAWAKE WENGI WASINGEOLEWA NA PENGINE WENGI WETU HUMU WASINGEZALIWA
 
HAUPO SAWA WEWE! POLE KWA UNAYOPITIA!
 
Acha wajifariji hakuna namna! Ila uhalisia kila mtu anaujua.. or else unabishana na watu wa tandahimba huko!
 
Defence mechanism ili inisaidie nini humu?
WANAOANZISHA NYUZI ZA KUWASEMA SINGO MAZA KILA WIKI AU WALE JAMAA WANAOHAMASISHA WATU WASIINGIE KWENYE NDOA AU WANAOJIZIMA DATA HUMU JF KUIPAMBANIA SERIKALI KWENYE KILA ANGLE NA WANAOTUMIA NGUVU ZAO ZOTE KUIKOSOA SERIKALI HUMU JF, WANAPATA MANUFAA YAPI ?
JIBU RAHISI NI KWAMBA HAKUNA CHA MAANA WANACHOKIPATA. HENCEFORTH HATA HIYO DEFENSIVE MECHANISM SIO LAZIMA IWE APPLIED ILI KUKUSAIDIA CHOCHOTE HUSUSANI HUMU.
 
Nomaa

Kuna karembo nilikuwa natoka nacho bwanah wake akafumania chati zetu ikatokea ugomv jamaa akanipigia tukaongea kiume tukayamaliza , sister duuh akajifanya hatutaki wote atatafuta bwanah mwengine

Siku zikapita nikimchek anakuja namla, yule jamaa yake wakarudiana ila Mimi nikawa wa kumla tu mara moja moja, miaka ikapita jamaa akamzalisha yule Dem , dem akanijulisha kua amemzalia yule jamaa

Sasa hivi ananambia kuwa jamaa anataka kumtolea barua amuoe ila sister duuh anataka tukutane mara ya mwisho nimle then akaolewe nimemwambia sawa , ananambia tufanye kila kitu then hatutokutana Tena wala kuwasiliana

Naisubiria hiyo tufanye kila kitu, nakutanaga nae guest tu safari hii nataka nimfute mtaani kabsa Ili hata kama Kuna fumanizi mtaa uibuke kidedea

Wanawake aisee hatari, Cha ajabu yeye ndio anaforce nikamle , nitamkomesha haisee
 
HAUPO SAWA WEWE! POLE KWA UNAYOPITIA!
Kama mwanaume anaweza kuoa mwanamke mwenye watoto zaidi ya mmoja,ina maana sio wanaume wote wanaipa bikira kipaumbele katika kuoa,kuna watoto humu mama zao waliolewa baada ya wao kuzaliwa,na wakalelewa na baba wa kambo.
So anayetaka kuoa bikira AOE BIKIRA aliyeridhia kuoa aisye na bikira aoe ,watu hawawezi kufanana mawazo na mitazamo.
 
Nomaa

Kuna karembo nilikuwa natoka nacho bwanah wake akafumania chati zetu ikatokea ugomv jamaa akanipigia tukaongea kiume tukayamaliza , sister duuh akajifanya hatutaki wote atatafuta bwanah mwengine

Siku zikapita nikimchek anakuja namla, yule jamaa yake wakarudiana ila Mimi nikawa wa kumla tu mara moja moja, miaka ikapita jamaa akamzalisha yule Dem , dem akanijulisha kua amemzalia yule jamaa

Sasa hivi ananambia kuwa jamaa anataka kumtolea barua amuoe ila sister duuh anataka tukutane mara ya mwisho nimle then akaolewe nimemwambia sawa , ananambia tufanye kila kitu then hatutokutana Tena wala kuwasiliana

Naisubiria hiyo tufanye kila kitu, nakutanaga nae guest tu safari hii nataka nimfute mtaani kabsa Ili hata kama Kuna fumanizi mtaa uibuke kidedea

Wanawake aisee hatari, Cha ajabu yeye ndio anaforce nikamle , nitamkomesha haisee
Huyo jamaa ana akili kweli kubeba risk kama hiyo, dah acha niendelee kusasambua tu hakuna namna.
 
Mkuu yaani big risk aisee, Tena kademu kama kananitambia kuwa kinaenda kuolewa na kanaomba tukutane Ili anipe kila kitu, Sasa najiuliza nimkatae nn? Maana Sina hisia nae kabsa
 
Nenda kamle acha kulaza damu na hata akiolewa wewe endelea kupiga mbupu adi jamaa apate akili na kutoka kwenye upumbavu.
 
Tatzo Sina mzuka nae yaani kama naenda kutafuna mpira tu
 
Au ndio wale wanawake hawana mbele wala nyuma sura za babu zao NO NYASH, kama analipa kula kabisa jombaa, lakini kuwa makini usifumaniwe malofa mengi huwa yanapenda kuua wanaume wenzao au kuwapaka wese.
 
Bora uoe mwanamke BIKRA ata ukiogongewa mbele ya safari machungu yake sio sawa na yule uliemkuta used
 
Au ndio wale wanawake hawana mbele wala nyuma sura za babu zao NO NYASH, kama analipa kula kabisa jombaa, lakini kuwa makini usifumaniwe malofa mengi huwa yanapenda kuua wanaume wenzao au kuwapaka wese.
Mtaani kwangu sifumaniwi hata nikilala na Mke wa mjesh Mkuu, hata ukiwa mjesh unadundwa

Mtoto mzuri sana ila ilee stimu imekata tangia tukio litokee la kuongea na jamaa yake ule mwaka

Kabla ilikuwa nikimkamata nampiga hata bao 7 ila baada ya fumanizi la sms na kuongea na mshikaji wake , bao mbili nazitafuta na ni mtoto mzuri aisee hatari nafikiri kisaikolojia imenichukua juu yake
 
Back
Top Bottom