Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Mpaka hao wanawake wawapige KELBU ndio huwa akili inareboot!!!

📌KATAA NDOA,NDOA MAANA YAKE UMEKUBALI KUMTUMIKIA HUYO MWANAMKE MPAKA ATAPOKUACHA,STUKA MNAIBIWA NGUVU NA MUDA WENU!!!
Mimi katika maisha yangu nimepata mafanikio makubwa baada ya kuoa.
Kabla sijaoa nilikuwa na utaratibu wa ku save pesa nyingi benki na hazinizalishii kitu chochote. Ila baada ya kupata jiko stori imekuwa ya tofauti, tule tu pesa ambatwo nilikuwa natuona tudogo kupitia mke wangu tumeweza kufanya mambo makubwa beyond my imagination.

Kwa hiyo anayetaka kuoa aoe, anayetaka kuolewa aolewe, anayetaka kutooa au kuolewa abaki na msimamo wake ila marufuku kuzungumzia mambo ya ndoa yasiyomhusu.
 
ila kumuamini mwanamke uliemkuta Katumika ni sawa na kuiamini CCM
 

Attachments

  • 0d3f72277f2f0b0c1a9e9dbb4e46a10b.webp
    0d3f72277f2f0b0c1a9e9dbb4e46a10b.webp
    581 KB · Views: 11

Attachments

  • Screenshot_20260809_201932_X.jpg
    Screenshot_20260809_201932_X.jpg
    100.6 KB · Views: 13
  • HPLpryJWUAAKkS1.jpg
    HPLpryJWUAAKkS1.jpg
    265.9 KB · Views: 9
Hii noma aisee🙌🏼 Huyo mjeshi hajapata fununu zozote mpaka sasa?? Wanawake wana siri nyingi aisee kweli mtu akisema wanaume tuoe bikra aeleweke tu!
Hajapata fununu zozote zile hadi leo,,,kiukweli huyo dada ni dhaifu kwa huyo mshkaji balaa....kiukweli tunabisha tu ila mwanamke bikra ni muhimu mno kumuoa
 
Hii mada haiishi tu humu jamani 😁😁😁tunaiona wakati tuna bikra mpaka sasa hatuna bado ipo tu kheeeee
 
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga

Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".

Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.

Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.

The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.

She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.

Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.

Don’t be a simp
basi sasa inatosha😁😁😁
 
Sio muda wa kupeana moyo huu tumaambiana uhalisia, yani Iko hivi Kuna muhuni kapafumua mbele na yuma we ukigusa NYUMA unaambiwa baby, sipendi hizo, mwenzako haombi ni kubinua anapashugulikia kisawa sawa,

Umekomalia naoa naoa, Lionel kama zezta Fulani, takukata Kofi, stupid

Nawatania mwaya mi mwenyewe naoa
 
Akiwa kwako mwanaume mpumbavu utasikia anakwambia, baby nimechoka siku NYINGINE jamani, akiwa Kwa muhuni utasikia, anasema, yes yes yes *** it, na makofi ya makebo anapigwa pa pah pah pah
 
YAH upo sahihi bro, wapo wanaume wanaozingua knoma aisee.

Kuna demu mm namuelewa knoma ila n single mother, Yn hii iliniumiza knoma Ila nikaa pembeni tuu aisee

Namuomba Mungu sana, mwanamke atakayebeba mimba yangu, bc awe huyo huyo na sio mwngn nitakayekuwa nae
Demu wa msela, unaingia kwenye anga zake
 
hata wanaume huwa tuna retire kutoka kwenye kufanya makorokoro,sasa mkikutana wote mmeamua ku tetire kutoka kumtumikia shetani na kuachana na anasa za dunia na kuamua kumfuata Mungu,mnatulia kweli kwa sababu anasa za dunia mnazifahami na kuamua kuziacha KURETIRE baada ya kuona hazina faida zaidi ya hasara tu.

kuna wanaume wengine walikuwa wananunu makahaba kabisa na wakaamua kuretire na kutulia kwenye ndoa.
Mwanaume na mwanamke hawafanani hata siku moja! Mwanaume anatumia ila mwanamke anatumiwa! Mwanaume aliyetembea na wanawake 100 na mwanamke aliyetembea na wanaume 100 hawafanani! Hilo weka akilini na usisahau!
 
Haha bana hii ndio sababu wanaume wengi wamekimbilia PasuaX kupiga mahela na kujenga maisha yao, waache wanawake wenye historia nyingi 🤣
 
Back
Top Bottom