Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Kwenye simu ndo kuna tiGO, mbona unaanzia mbali mwamba!!!, we muweke doggy style tu, ukiangalia kwa umakini lile tundu kama linapigwa utajua tu.

Labda kama umeingia juzi tu kwenye hii tasnia ndo hutajua.
Labda umuwekee picha tundu lililopigwa na ambalo halijapigwa linakuaje
 
Kujieleza sana ni dalili ya udhaifu
 
Hapo ndipo tunatofautiana. Kama bikira ni principle yako, tafuta bikira yako, hakuna shida. Mimi principle yangu ni tabia, upendo, heshima, uaminifu na namna tunavyoishi pamoja. Situmii historia ya mwanamke kumdhalilisha, wala sitaki furaha yangu itegemee kujua alikuwa na nani kabla yangu. Yaliyopita yamepita, mimi naangalia tunajenga nini sasa.
 
Hii nilikuwa siijui Leo pastor church kaiweka sawa kuwa shela ni kwa ajili ya bikra kibiblia kama huna bikra kuvaa utakiwi et.
Kila anachovaa mwanamke siku ya harusi kina maana yake.

-vazi jeupe ni ishara ya usafi. Kwamba mwanamke bado hajaguswa
-shela ni bikira kwamba bado yupo sealed na baada ya kula kiapo mume anaruhusiwa kumfunua shela mkewe na kumbusu hii maana yake ndio mwanaume wa kwanza kupewa kibali cha kumwingilia.
-ua analobeba mwanamke ni ishara ya taji la ushindi kwamba pamoja na vishawishi vyote kafanikiwa kujitunza kwa ajiri ya mume wake tu
 
Nasema alichokisema yeye n ukwel 100% hayo mengine pia n ukwel 100%
Jamaa kasema khs mke kuleta maex wake kwenye harusi
 
Sasa mkuu, yaliyopita hayapiti mpaka kifo, huwezi futa historia ukaasume haipo. Historia ipo tu na ina impact kwenye future. Hata isipozungumzwa kuna siku yeye akikaa anaikumbuka, bikira ilivyotolewa, staili iliyotumika, maneno yaliyotamkwa n.k. Suluhu ya kutokuwa na hiyo historia ni bikira. Usijinafikie kuassume kuwa hakuna tena historia sababu anakupenda, kila kitu kipo, kinaexist kwenye akili yake.

Ishu ya uzinzi kuwa atagawa kwa X wake sijaongelea maana hata ungeoa akiwa na bikira angeweza kuzini, mimi naongelea historia ikiandikwa inakuwa sehemu ya maisha sasa usijinafikie kuwa haipo, sababu ya kuheshimiwa na kupendwa, la muhimu ni asizini.
 
Thanks God wife wangu wa 2004 nilimkuta hajatumika!....

Alikwepa vizingiti vyote vya darasa la 5,6,7 mpaka O level.....
 
Wanaokoka, wanabatizwa wanataka ndoa sasa baada ya kazi nzito sio?
Wanawake wa kisasa wengi kwa sasa ndoa ni retirement plan. This is the trick modern society wants men to swallow: a woman is free to make every reckless choice in her youth, but when she is ready to settle, a disciplined man must not ask questions. If he ask he is judgemental. If he refuces he is insecure. Ifhe says her past matter, he is misogynistic.

The truth is that man is not judgemental, insecure or misogynist. He is simply not stupid
 
Upo sawa.
 
Sasa wikiend itaisha vipi bila kutibua nyongo za watu. Kukaa bar kunywa bila kuanzisha kaugomvi kidogo ni matumizi mabaya ya kilevi
Hahaha........utafanya ukose mke ujue, si unajua babu yenu nina wajukuu wengi humu 🤭

Binafsi sipendi ugomvi na warembo humu, maana nawategemea wao nikizidiwa na baridi la Uzee 🤪
 
Hahhaah sina nguvu za kukubonda!

Kiko 12 umepata ili miezi 12 upumzishe wajukuu zako na hicho kivuta kiko sasa😎
Hahaha...........naona dalili ya kuzidishiwa dozi hadi niombe dawa zangu za Presha 🤭

Kwa hizi nguvu chache zilizobaki kwa Uzee, sioni nikimtuma mjukuu mwingine kuniletea Kiko zaidi yako 🙈 🏃 🏃
 
Historia ya mtu haitoshi kumhukumu, bali ni machaguo na matendo yake. Huu nao ni ukweli.
Huu ni uongo. Linapokuja suala la kusettle historia ya mwanamke inamuhukumu. God can forgive her past, and that's God's business. But if you would marry her, that's your business, not God's. A man can respect woman's transformation and still refuce to make her his wife. Marriage is not a charity programme for women who are tired of consequences of their choices. A God-fearing man is not a retirement plan.
 
Hahaha...........naona dalili ya kuzidishiwa dozi hadi niombe dawa zangu za Presha 🤭

Kwa hizi nguvu chache zilizobaki kwa Uzee, sioni nikimtuma mjukuu mwingine kuniletea Kiko zaidi yako 🙈 🏃 🏃
Mimi nimeshakupa ofa hiyo natoa vya miezi kumi na miwili kabisa, hizo za pembeni sasa ndio utakuwa unaagiza mwenyewe kama nyongeza😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…