Wazee tunakawaida ya kuridhika mapema, hata ile kukandwa kandwa misuli na mikono laini huwa Asante hazikauki midomoni mwetuMimi nimeshakupa ofa hiyo natoa vya miezi kumi na miwili kabisa, hizo za pembeni sasa ndio utakuwa unaagiza mwenyewe kama nyongeza😎
Kukandwa mtakandana huko na wajukuu zako.. mi mwenyewe natafuta wa kunikanda😅Wazee tunakawaida ya kuridhika mapema, hata ile kukandwa kandwa misuli na mikono laini huwa Asante hazikauki midomoni mwetu
Ndiyo iwe kuletewa Kiko zote hizo
Anza kuniletea hizo Kiko tu mjukuu 🤭
Kuwa na imani na Wazee mjukuu 🤭Kukandwa mtakandana huko na wajukuu zako.. mi mwenyewe natafuta wa kunikanda😅
Ndio ili utulize wenge mzee😎
Hahha ntakutumia kwenye bus!
Sileti mzee😏Kuwa na imani na Wazee mjukuu 🤭
Fanya uniletee tu hizo Kiko, si unajua babu yako Nina arosto kubwa
Used na nani aliens? Wapo wamba wachache wanavitumia kwanza ndio vinakua used kwa wengine.Tuko kwenye dunia ya vitu used
Ntapigwa ban mkuu.Labda umuwekee picha tundu lililopigwa na ambalo halijapigwa linakuaje
Mwanamke ana haki ya kuliwa kabla ya kuolewa, na mwanaume pia ana haki ya kumkataa mwanamke alieliwa ukifika wakati wa kuoaKwahiyi kabla ya wewe kuwa naye ulitaka aishije bila kuliwa? Wewe unaweza kuishi bila kula?
Hauna uhalali wa kumpangia matumizi ya viungo vyake, lakini una uhalali wa kumkataa kama amevitumia kwa namna isiyokupendezaMimi kumpangia mtu mzima namna ya kutumia via vyake vya uzazi ndio nishashindwaga kabisa.
Unajua kabisa jinsi Kiko inanisaidia na hili baridi, fanya kunionea huruma babu yako 🤭Sileti mzee😏
Babu wa mchongo tulizanaUnajua kabisa jinsi Kiko inanisaidia na hili baridi, fanya kunionea huruma babu yako 🤭
Mkuu umeongea ukweli lakini sasa Mimi unaenitukana nimevaa suti na kucheka Cheka kama taahira pale mbele nitajuaje sasa hayo yote? By the way hivi kwa mfano tukisema wanaume wote ambao hawajaoa waoe wanawake mabikra watatosha kweli?Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili kabla ya harusi walipiga game ya kuagana. Baada ya game, mkeo akalala ubavuni mwa muhuni anapapasa kifua huku taratibu kwa sauti ya kudeka akimwambia "mimi naoelewa tu kwa sababu wazazi wamenilazimisha lakini wewe ndo mwanaume ninaekupenda".
Sasa hao wanaume wote hapo juu mkeo atawaalika harusini au kuna namna atafanya taarifa ziwafikie, na kuna ambao watakuwepo ukumbini.
Nataka nikwambie kitu kama ulikua haujui. Kadili mwanamke anavyotumika ndivyo atataka habari za harusi yake zisambae zaidi. Kwanini? kwa sababu hiyo harusi kwake ni jukwaa la kuwashushua wanaume wote waliom-dump na mashoga zake waliosema haolewi kwa sababu wanajua makandokando yake.
The more experienced she is the louder the ceremony. The purer she is the simpler her wedding dreams.
She is not celebrating a man, she is flexing her past. "see? i got married after all". That's a message she is trying to send.
Wewe? Utakua haujui chochote upo pale mbele umevaa suti yako unacheka cheka tu kama tahira.
Don’t be a simp
Koh koh koh 🤭Babu wa mchongo tulizana
Na umejikausha juu ya jambo langu mjanja wewe🤔Koh koh koh 🤭
Kwahiyo anakubali kutoa utamu kwasababu kaambiwa ataolewa sio kwasababu ameolewa???Si mnawadanganya kuwaoa
Anayemdanganya ni Allien au mwanaume? Kumbuka unapotumia mke wa mtu na wewe wa kwako anatumika na mwingine. Mkija kuoana, kila mtu anakua ameshachezea mke wa mwenzake. Hivyo ni kuvumiliana tu.Kwahiyo anakubali kutoa utamu kwasababu kaambiwa ataolewa sio kwasababu ameolewa???
njia salama za kufanya ngono siku hizi ni zipi mweshimiwa?Dunia ina ukweli mwingi sana, using'ang'anie mmoja.
Mleta mada kaleta ukweli wake hapa, ila hataki kukubali ukweli wa wengine.
Kwanza mwanamke hawezi kutumika, kwasababu sio bidhaa. Huu nao ni ukweli.
Sio mahusiano yote huishia kwenye ndoa. Huu nao ni ukweli.
Ikiwa kuna njia salama za kufanya ngono siku hizi, hakuna haja ya kusubiri ndoa, watu wanapaswa kufurahia mahusiano kikamilifu. Huu nao ni ukweli.
Historia ya mtu haitoshi kumhukumu, bali ni machaguo na matendo yake. Huu nao ni ukweli.