a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
wote tumetenda dhambi lakini Mungu ametusamehe,kama wote mume amua kuacha maisha ya uzinzi/zinaa na kutulia katika ndoa pamoja kwa uaminifu,na kutubu na kuziacha njia mbaya za zamani,Mungu anatusamehe,tunakuwa viumbe vipya ya kale yanapita tunaanza mapya.Mwanaume na mwanamke hawafanani hata siku moja! Mwanaume anatumia ila mwanamke anatumiwa! Mwanaume aliyetembea na wanawake 100 na mwanamke aliyetembea na wanaume 100 hawafanani! Hilo weka akilini na usisahau!
Soma na uelewe ndo ujibu usikurupuke tu kujibu!wote tumetenda dhambi lakini Mungu ametusamehe,kama wote mume amua kuacha maisha ya uzinzi/zinaa na kutulia katika ndoa pamoja kwa uaminifu,na kutubu na kuziacha njia mbaya za zamani,Mungu anatusamehe,tunakuwa viumbe vipya ya kale yanapita tunaanza mapya.
Tufute hiyo negativity ya kuwa na insecurity kama hukuoa bikra usiogope,wala usiwaze wala usichunguze PAST ukianza ku dig past ama kuhofia past history huta move foward ni vizuri kuanza upya kurasa mpya.
Vigezo ni vingi kila muoaji ana vigezo vyake anavyoangalia,anayetaka lazima aoe bikira yupo sawa kwa mtazamo wake.
ambaye bikira sio kipaombele namba moja pia yupo sawa ,kila mti ajipangis vigezo anavyovitaka yeye kadiri ya mtazamo wake.MITAZAMO INATOFAUTIANA kila mtu ana namna yake anavyotafsiri mambo na anavyoyapa umuhimu mambo ,mimi naweza nikaona bikira sio kitu cha lazima kwangu,kumbe kwa mwingine ni kigezo cha msingi,na wote tuko sawa.
ILA HAYA MAELEZO PAMOJA NA UZURI WAKE KWA KIWANGO CHAKE HAYAKUPASWA KUTOLEWA NA MWANAMKEEti hili nalo mpaka atokee mtu kuwaeleza hata akili za kuzaliwa tu hawana! Bikra sio guarantee ya mke mwema! Unaweza kukutana na kurumbembe tu likaamua kutulia maana vyote lilivyopitia ni ubatili mtupu! Bikra hata hajaionja joto ya jiwe kama binadamu atatamani kuhangaika kidogo aonje na yeye vilivyopo duniani, or else umfungie ndani kama msukule!
Wewe ulikuwa wapi kwanini hukumuoa huyo binti?miaka ya nyuma binti mmoja mrembo sana very decent wa chuo kikuu akiwa mwaka wa pili alikuwa black mail na boy griend wake wakamfanyia GANG RAP wakarekodi na video wakairusha karibu chuo kizima wakaiona aibu yake.
baada ya tukio lile binti yule mrembo alitaka kujiua anywe sumu,lakini kijana mmoja wa kiume classmate wake akajitokea kuwa naye karibu na akamchumbia na kumuoa ,na sasa wanaishi wamefunga na ndoa ni binti mrembo sana.
SO imekuwa VIZURI MUNGU ameumba watu wenye Mitazamo tofauti tofauti na NGUVU TOFAUTI za KUBEBA MAMBO MAGUMU.
sasa kama huyu kijana aliyuoa binti ambaye alibakwa na kindi la wanaume tena wakamchukuaa video na video imerushwa chuo kizima wanafuzi wameona kama ANGEKUWA NA MTIZAMO KAMA WAKO wa kuangalia bikira ,pengine asingemuoa kwa sababu hana bikira na alibakwa tena kwa GANG./kundi la wabakaji.
Defence mechanism ili inisaidie nini humu?ILA HAYA MAELEZO PAMOJA NA UZURI WAKE KWA KIWANGO CHAKE HAYAKUPASWA KUTOLEWA NA MWANAMKE
YANA SOUND KAMA SOME SORT OF DEFENSIVE MECHANISM.
aliniwahi tu yule binti alikuwa mrembo sana,asingewahiwa ningejilipua.Wewe ulikuwa wapi kwanini hukumuoa huyo binti?
HAUPO SAWA WEWE! POLE KWA UNAYOPITIA!aliniwahi tu yule binti alikuwa mrembo sana,asingewahiwa ningejilipua.
sio wote tunaoangalia bikira tu,kila mtu ana vigezo vyake anavyovipa umuhimu katika kuoa,kama wanaume wote tungekuwa tuna angalia bikira tu kabla ya kuoa ,WANAWAKE WENGI WASINGEOLEWA NA PENGINE WENGI WETU HUMU WASINGEZALIWA
Acha wajifariji hakuna namna! Ila uhalisia kila mtu anaujua.. or else unabishana na watu wa tandahimba huko!aliniwahi tu yule binti alikuwa mrembo sana,asingewahiwa ningejilipua.
sio wote tunaoangalia bikira tu,kila mtu ana vigezo vyake anavyovipa umuhimu katika kuoa,kama wanaume wote tungekuwa tuna angalia bikira tu kabla ya kuoa ,WANAWAKE WENGI WASINGEOLEWA NA PENGINE WENGI WETU HUMU WASINGEZALIWA
WANAOANZISHA NYUZI ZA KUWASEMA SINGO MAZA KILA WIKI AU WALE JAMAA WANAOHAMASISHA WATU WASIINGIE KWENYE NDOA AU WANAOJIZIMA DATA HUMU JF KUIPAMBANIA SERIKALI KWENYE KILA ANGLE NA WANAOTUMIA NGUVU ZAO ZOTE KUIKOSOA SERIKALI HUMU JF, WANAPATA MANUFAA YAPI ?Defence mechanism ili inisaidie nini humu?
Kama mwanaume anaweza kuoa mwanamke mwenye watoto zaidi ya mmoja,ina maana sio wanaume wote wanaipa bikira kipaumbele katika kuoa,kuna watoto humu mama zao waliolewa baada ya wao kuzaliwa,na wakalelewa na baba wa kambo.HAUPO SAWA WEWE! POLE KWA UNAYOPITIA!
Huyo jamaa ana akili kweli kubeba risk kama hiyo, dah acha niendelee kusasambua tu hakuna namna.Nomaa
Kuna karembo nilikuwa natoka nacho bwanah wake akafumania chati zetu ikatokea ugomv jamaa akanipigia tukaongea kiume tukayamaliza , sister duuh akajifanya hatutaki wote atatafuta bwanah mwengine
Siku zikapita nikimchek anakuja namla, yule jamaa yake wakarudiana ila Mimi nikawa wa kumla tu mara moja moja, miaka ikapita jamaa akamzalisha yule Dem , dem akanijulisha kua amemzalia yule jamaa
Sasa hivi ananambia kuwa jamaa anataka kumtolea barua amuoe ila sister duuh anataka tukutane mara ya mwisho nimle then akaolewe nimemwambia sawa , ananambia tufanye kila kitu then hatutokutana Tena wala kuwasiliana
Naisubiria hiyo tufanye kila kitu, nakutanaga nae guest tu safari hii nataka nimfute mtaani kabsa Ili hata kama Kuna fumanizi mtaa uibuke kidedea
Wanawake aisee hatari, Cha ajabu yeye ndio anaforce nikamle , nitamkomesha haisee
Mkuu yaani big risk aisee, Tena kademu kama kananitambia kuwa kinaenda kuolewa na kanaomba tukutane Ili anipe kila kitu, Sasa najiuliza nimkatae nn? Maana Sina hisia nae kabsaHuyo jamaa ana akili kweli kubeba risk kama hiyo, dah acha niendelee kusasambua tu hakuna namna.
Nenda kamle acha kulaza damu na hata akiolewa wewe endelea kupiga mbupu adi jamaa apate akili na kutoka kwenye upumbavu.Mkuu yaani big risk aisee, Tena kademu kama kananitambia kuwa kinaenda kuolewa na kanaomba tukutane Ili anipe kila kitu, Sasa najiuliza nimkatae nn? Maana Sina hisia nae kabsa
Tatzo Sina mzuka nae yaani kama naenda kutafuna mpira tuNenda kamle acha kulaza damu na hata akiolewa wewe endelea kupiga mbupu adi jamaa apate akili na kutoka kwenye upumbavu.
Au ndio wale wanawake hawana mbele wala nyuma sura za babu zao NO NYASH, kama analipa kula kabisa jombaa, lakini kuwa makini usifumaniwe malofa mengi huwa yanapenda kuua wanaume wenzao au kuwapaka wese.Tatzo Sina mzuka nae yaani kama naenda kutafuna mpira tu
Mtaani kwangu sifumaniwi hata nikilala na Mke wa mjesh Mkuu, hata ukiwa mjesh unadundwaAu ndio wale wanawake hawana mbele wala nyuma sura za babu zao NO NYASH, kama analipa kula kabisa jombaa, lakini kuwa makini usifumaniwe malofa mengi huwa yanapenda kuua wanaume wenzao au kuwapaka wese.